ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,752
- 127,738
Hiini updated version, haina mbambamba ni kuwekwa vinane chap kwa haraka🤣🤣🤣Wa kitaa si ndo hawa hawa wamatumbi wa jf au kuna new version niupdate?? 😂😂😂
Hiini updated version, haina mbambamba ni kuwekwa vinane chap kwa haraka🤣🤣🤣Wa kitaa si ndo hawa hawa wamatumbi wa jf au kuna new version niupdate?? 😂😂😂
Hawa Wana vibonde wao mbona nasikia wanachunwa na hata hawasemi 😂😂😂Nguruwe pita sina mkuki mieeeee 😁😁😁😁😁 nije nikute kathread kangu kanatrend
Jamani😂😂😂😃🤭Aiseee hapo umenena mpaka mwili umenisisimka 😄😋🔥🔥🔥
Kumbe sasa unataka nifanyaje embu niambie Lamomy sexkseee mommaaa 😋😄Nitakuchapa 😂😂😂
Ko ndio ukatoa kiulimi?
Ushawahi kuona nananga mtu na wewe, jaribu uone vikumi nonostop utashangaa mwenyewe🤣🤣🤣Nguruwe pita sina mkuki mieeeee 😁😁😁😁😁 nije nikute kathread kangu kanatrend
Kuna wakinga wengine wana mawe vunja anasubiri we njoo ule pesa. 🤣🤣🤣Usijali lazima tutume fungu la kumi tunajua wifi Ana mdomo lazima tujiongeze....ila asiwe vunja bei tu 😁😁😁😁😁😁
Halafu nasikia walaji wapo humu soon utasikia Kuna pdf 😁Hawa Wana vibonde wao mbona nasikia wanachunwa na hata hawasemi 😂😂😂
Kaongo🤣🤣Hawa Wana vibonde wao mbona nasikia wanachunwa na hata hawasemi 😂😂😂
SidanganyikiiiiUshawahi kuona nananga mtu na wewe, jaribu uone vikumi nonostop utashangaa mwenyewe🤣🤣🤣
Haya baki na wa huko bonyokwa walamba lips na kula miguu ya kuku🤣🤣🤣Sidanganyikiiii
Takwimu unazo bibie za hao watotoSasa hizo bikra mnazotaka kuoa mtazipata wapi wakati mnashindana kuwabikiri watoto wadogo? Yaani haiji kabisa
Nmefika nimejaa Tele nisogezee mkinga wangu hapa nimpe mahaba kama yote 🥰Kuna wakinga wengine wana mawe vunja anasubiri we njoo ule pesa. 🤣🤣🤣
Subutuuu mlamba lips labda niwe namto...ba mimi ila sio yeye 😁😁😁😁Haya baki na wa huko bonyokwa walamba lips na kula miguu ya kuku🤣🤣🤣
😂😂Ndio bhana si mseme tu mnachunika na mnakaushaKaongo🤣🤣
Hawa wanaolia kuombwa afu tatu ndo wawe na nguvu ya kupiga vi8?!! 😂😂😂😂Hiini updated version, haina mbambamba ni kuwekwa vinane chap kwa haraka🤣🤣🤣
Acha zako weweeeee 😄Miongo hiyo ni vile tunawasoma tunacheka tunaona km vibonzo vya Nathan Mpangala
Kwa nguvu gani walizonazo za kupiga bao zote hizo?!!😂😂😂
vip unabodaboda wako?kama bado hujapata mm nipoMichango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!
Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.
Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?
Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi?
Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake dazeni, jinsi mnavyojua kununua malaya, jinsi mnavyojua kula kimasihara....
Mkimaliza raha zenu mnaanza kutopondea umalaya!! Swaini nyie.
Msiwafanye wanawake objects.
Povu ruksa.
Anaombwa hela ya vocha analeta uzi analiiiaHawa wanaolia kuombwa afu tatu ndo wawe na nguvu ya kupiga vi8?!! 😂😂😂😂
Wakijitahidi viwili tena sio vya kuunganisha na alkasusu imehusika hivi hivi hatoboi
Ukianza kusikia pdf ujue mtu kaliwa Hela tayar alaf wanajifanya miamba😂😂Halafu nasikia walaji wapo humu soon utasikia Kuna pdf 😁
Unasema tu, huko Bonyokwa hamna shughuli, njoo kwa jf upate version ya Riki(hutatangazwa), uchezee kitu usiku kucha🤣🤣Subutuuu mlamba lips labda niwe namto...ba mimi ila sio yeye 😁😁😁😁