Wanaume jamani

Miss Bantu

Senior Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
153
Reaction score
149
Hivi kwanini mnakua hamuelewi pale mwanamke anapokwambia tiari anampenzi wake, jamani mnakela yani mtu anang'ang'ania tafikiri aliambiwa nimezaliwa kwa ajili yake.!!!
 
Hahaha! Weeh, wanaume wana nafuu! Ulishawahi kuona mwanamke akimganda mwanaume? Hata kama ni mwanaume wako ndo anagandwa, utajikuta unamuonea huruma!
By the way, a little bit of stalking won't kill u, enjoy the ride hehehe!
 
lol! bandua ruba huyo hata kwa kaa la moto, lol! pole mwaya!
 
Hahaha! Weeh, wanaume wana nafuu! Ulishawahi kuona mwanamke akimganda mwanaume? Hata kama ni mwanaume wako ndo anagandwa, utajikuta unamuonea huruma!
By the way, a little bit of stalking won't kill u, enjoy the ride hehehe!

mhh hao wanawake wanao waganda wanaume kweli watakua wamekoxa la kufanya, wanaume wote waliojaa huko nje nianze tu kumganda limtu.. no way
 
Labda unamkatalia kwa style ya nataka sitaki, wajifanya kisebu sebu.
Ukimwambia clearly (but politely) kua hutaki atapata tu ujumbe wake
 
Hahaha! Weeh, wanaume wana nafuu! Ulishawahi kuona mwanamke akimganda mwanaume? Hata kama ni mwanaume wako ndo anagandwa, utajikuta unamuonea huruma!
By the way, a little bit of stalking won't kill u, enjoy the ride hehehe!
Au mwanamke anamng'ang'ania mwanamke mwenzake..........

mpe za uso kama haelewi somo. dah wanakera niaje! hebu acha kumuintertain. usipokee cm zake, usijibu sms kama vp mblock no.zake. atachoka mwenyewe
 
Afu wewe.... hebu acha unoko kabla sijakutumia ziraili..

sema babu mi na we tunakimbiana kama paka na simba ..
Vipi babu hali inasemaje??
Hali buheri, siku hizi umenipotezea. Mapenzi yetu si kama ya zamani.

Nimekukosea nini mjukuu mteule nikutake radhi?
 
mpe za uso kama haelewi somo. dah wanakera niaje! hebu acha kumuintertain. usipokee cm zake, usijibu sms kama vp mblock no.zake. atachoka mwenyewe

Heh toa ushauri taratibu basi mkuu. Lol
 
Hali buheri, siku hizi umenipotezea. Mapenzi yetu si kama ya zamani.

Nimekukosea nini mjukuu mteule nikutake radhi?

Babu na hakika hukunikosea lolote bali ni hizo mvi pamoja na wrinkles zinakufanya
ume mkali saa zingine.. ila jua wajuu wakubwa tuko hapa kwa lolote lile utakalo 🙂 We love you always.
 
Sasa si tungemalizana tu kwa PM,asa ndó umefanya nini kumwaga kuku kwenye mpunga wengi! sio kung'ang'aniwa, NI MPENZI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…