Haujuwi>HAUJUI
Hakukuwepo na mwalimu wa kiswahili shuleni kwenu?
Bila shaka hao watakuwa wapare[emoji85]
nnakiandika» ninakiandikaKiswahili ni lugha mama kwangu, wewe unaandika ulivyosomeshwa ujinga, mimi Kiswahili nnakiandika kama kinavyotamkwa.
Hiyo ndiyo tofauti kati yangu na wewe uliyesomea ujinga shuleni.
nnakiandika» ninakiandika
Ndio maana huko Rufiji mnafeli sana mitihani kwa sababu mnaandika ujinga. Lugha ya kuandika hususan kwenye masuala rasmi kama shuleni, kazini ni tofauti na lugha kuzungumza.
Kwa mfano kiswahili hauwezi ukaandika ujinga kama huu
Ndo maana» ndio maana
Mi siwezi» mimi siwezi
Alikuwepo mwalimu wa somo la ubishi tuuHaujuwi>HAUJUI
Hakukuwepo na mwalimu wa kiswahili shuleni kwenu?
= mengine
Ukikosea ntakurekebisha, labda uandike sawa. Kumbuka hilo. Kama hautaki watu wa ku quote ina maana hizi "open forums" hazikufai na wala haujuwi maana yake.
FaizaForxy kusema kwel mm nakuheshimu sana kwa uwezo wako wa kujenga hoja na kuchambua mambo mbalimbali lakin kwenye upande wa grammar we ni tabula rasa wa kutupwaSijawahi kufeli mtihani. Kumbuka hilo.
Tatizo kuwa wewe ni "dubur" hasa! kumbuka, siyo "dubuli" ni dubur.
Sasa waelezee walimwengu wa JF wasioelewaa maana yake ni nini maana ya hiyo ID yako.
Punguani wahed.
FaizaForxy kusema kwel mm nakuheshimu sana kwa uwezo wako wa kujenga hoja na kuchambua mambo mbalimbali lakin kwenye upande wa grammar we ni tabula rasa wa kutupwa
Division five= helmet
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ahsanteaksante nita edit
Ahsante
Division five