Wanaume jamani mmmmh

Hiyo ni mifuko iliyojaa cement au Sufi?
 
Pikipiki huwa wanabeba mifuko miwili miwili ya cement kuepuka mipira kupata pancha. Mifuko ya cement ni kama mifuko ya sukari unapoibeba mwisho haizidi mi5, na mtu anaebeba mifuko mi5 sio mtu wa mchezo mchezo.
**kifupi mifuko 10 ya cement haiwezekani.
--Wanaume wenye uwezo wa kubeba mifuko miwili ya cement kichwani(mgongoni) ni wachache mno.
 
daaa wapo wale wanaosambaza mizigo haram mbweni nao wanakimbia balaa,au wale wanaopakia had gunia saba za mkaa,ni too risky
 
Bila shaka amemeza sana Qur'an ameacha idea za mcng

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
 
mambo mengne unakuwa kama unatafuta sifa...

unakera.


Ukiniquote tena, utakuwa unanitafutia ban

= mengine


Ukikosea ntakurekebisha, labda uandike sawa. Kumbuka hilo. Kama hautaki watu wa ku quote ina maana hizi "open forums" hazikufai na wala haujuwi maana yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…