Wanaume iweje mtuone malaya tukiwaomba hela

Wanaume iweje mtuone malaya tukiwaomba hela

Kama mpenzi wako ,,,,

Mkiwa mnafanya lile tendo mnafanya kwa upendo tuuu,,,,kama Hela atakupa siku nyingine kabisa na ataendelea kukupa hela wala usijali,,,

Lakini mmemaliza tendo tuuu unaomba nauli kwani hiyo business

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulimwita wewe mwenyewe na hana naili unataka smwombe nani?
 
Hello.

Inakuaje mwanaume analala na wewe.

Hakuna sarufi mbovu anakuachia asubuhi je ukimuomba Unaonekana malaya.
Kama hakupi hela usimuombe njoo uniombe mimi, asije akakuona Malaya Bure mtoto wa watu.
 
Hello.

Inakuaje mwanaume analala na wewe.

Hakuna sarufi mbovu anakuachia asubuhi je ukimuomba Unaonekana malaya.
Hakuna mwanaume wa hivyo labda ulilala na Mvulana ambae peda bado anaomba kupewa ama anatumiwa kutoka kwao.
 
Mapenzi sio pesa ila hakikisha unazo kabla ya kuamini huo ujinga na sio kwamba ukiwa nazo umpe baada ya mchezo kama ni mpenzi wako tofauti na siku hio unamtoa hata out mnaspend unaweza kumpa hata ya kutumia na sio baada ya kumaliza kumwaga 😀😀 hapo nisawa na umenunua huduma nae akikubali nikama anajiuza tu
 
Binafsi kumpa mwanamke hela baada ya kulala nae,hua naona ni kama udhalilishaji fulani,ni kama umenunua huduma,ni kama huyo mwanamke anajiuza,ni kama unajionyesha kua una uwezo wa kumnunua binadamu mwenzako kwa starehe,kumpa hela sio lazima iwe baada ya kulala nae,kumpa hela siku za kawaida ni vizuri zaidi na hujenga heshima zaidi,

Hapa namzungumzia mtu na mpenzi wake na sio wale wakujiuza.

Hata mie naona heri utoe siku tofauti na uliyolala nae
 
Back
Top Bottom