Wanaume iweje mtuone malaya tukiwaomba hela

Akishalala na wewe anatakiwa kukupa pesa?

Unaweza ukanipa sababu ya msingi ili na mie nianze kutoa kei kimkakati?
Kama mpenzi wako ,,,,

Mkiwa mnafanya lile tendo mnafanya kwa upendo tuuu,,,,kama Hela atakupa siku nyingine kabisa na ataendelea kukupa hela wala usijali,,,

Lakini mmemaliza tendo tuuu unaomba nauli kwani hiyo business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think wanawake hawatujui wanaume vizuri.
Kama thamani yako iko juu, you wont have to ask for money. Tutakupa wenyewe bila hata kujiuliza mara mbili.
Jeuri na raha ya mwanaume ni kumtunza na kumjali mwenzi wake.
Sema sasa, ili.ufike hapo lazma uwe umefikia kiwango cha juu.
Sasa wengi wenu mkishatoa papuchi tu, mnaona kama vile ni haki yenu kupewa mitonyo, au mkishaingia kwenye mahusiani mnaona ni haki yenu kupewa hela.
Stay woke! A man wont spend on a hoe hata siku moja.
 
Akishalala na wewe anatakiwa kukupa pesa?

Unaweza ukanipa sababu ya msingi ili na mie nianze kutoa kei kimkakati?
Binafsi kumpa mwanamke hela baada ya kulala nae,hua naona ni kama udhalilishaji fulani,ni kama umenunua huduma,ni kama huyo mwanamke anajiuza,ni kama unajionyesha kua una uwezo wa kumnunua binadamu mwenzako kwa starehe,kumpa hela sio lazima iwe baada ya kulala nae,kumpa hela siku za kawaida ni vizuri zaidi na hujenga heshima zaidi,

Hapa namzungumzia mtu na mpenzi wake na sio wale wakujiuza.
 
Siku moja nilimtongoza mrembo fulani baada ya ukaribu wa muda siku moja akakubali kuja mahali fulani kwajili ya chakula..
Baada ya kula na mazungumzo ya hapa na pale nikamwambia kuna chumba nimelipia unaweza kwenda kupumzika na kuoga maji moto.. basi bhana akakubali nikampeleka mi nikarudi kula pombe zangu baada ya muda akanitumia msg mbona umeondoka nikamwambia nakujaa.

Kweli nikaenda nikakuta mtoto amewakawaka hapo kwa kitanda baada ya mimi kuoga tukaanza michezo fulani mwisho nikatoa zana nikatafuna tunda bila ubishi. tukapumzika mpaka jioni saa moja hivi..
Muda wa kuondoka nikampa 20000 baada ya kufika kwao akaniuliza zile pesa ulinipa ni za nini? nikamwambia tumia kununua kitu chochote tu nikamwambia haikuwa vuzuri kwangu kukuacha bila asante..
Akasema mi sipendi mana unafanya kama unanilipa na mimi sijakuuzia kitu.
Nikamwambia hapana haikuwa wazo langu basi tukaelewana..
Baada ya kama siku mbili akanambia nataka nije kwako mahali we unaishi....nikahamaki Heee! Nikimwambia mama mmi nina mke na watoto.. asee binti alikasirija mpaka alikuja nifata kazini ameshika 20 mkononi na jazba kweli.

Anasema kama ni tabia yako kununua malaya mimi sio malaya nimerudisha hii pesa yako. nakwambia 20 ilitupwa hapo chini mtoto akasepa.
Noma ilienda kuwa kubwa mpaka ikafika kwa dada yake akisema nimemdhalilisha na kumdanganya ila badae nikamwomba msamaha tukaachana kwa amani..

Kuna wanawake wanamsimamo sana asee mungu ambariki yule binti...Amina
 
Huyo uliempata ni one in a million
 
Back
Top Bottom