Wanaume ifike mahali tuseme imetosha, Tuchukue maamuzi magumu sasa!

Hii ngumu kumesa, tugome kwenye michepu, njia kuu au kote kote, njia kuu sigomi kwasababu my waifu wangu aliambiwa na bibi yake siku ya kitchen party kuwa ni marufuku kulala ukiwa umevaa kitu chochote lazima ulale ukiwa mtupu kama ulivyo zaliwa na anatekeleza agizo hili ugonjwa wangu ni huu nikichungulia tu lazima kieleweke sasa huu mgomo nitaumudu kweli?
 
Raha huendana na huba,
huba lijazalo kibaba,
cha mengi yenye mahaba,
kwa hiari bila kukaba.

Wewe mama mimi baba,
Tubebe chetu kiroba,
cha mapenzi na mahaba,
Juu ya sita kwa saba.

Wacha weee.....yote hayo naambiwa mimi? Nisiponenepa mwaka huu ndo sinenepi tena mimi maisha yangu yote...
 
Mi ntakuwa nagoma kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa moja jioni. Naunga mkono hoja.
 
Wacha weee.....yote hayo naambiwa mimi? Nisiponenepa mwaka huu ndo sinenepi tena mimi maisha yangu yote...

Ondoa yako mashaka,
Pata amani hakika,
Kunyoa au kusuka,
Chagua lililo mwafaka.

Yote haya ni yako,
yaweke moyoni mwako,
kukonda hapana kwako,
Moyo wangu ni wako.

Nakutakia baraka,
Na kila lenye fanaka,
Siku mwezi hata mwaka,
Uishi kwa Uhakika

Amina tena amina,
Amina tena na tena,
Tena na tena Amina.
Nasema tena Amina.

cc Kaizer, kwa kumbukumbu ya chama.
 
Last edited by a moderator:
Ondoa yako mashaka,
Pata amani hakika,
Kunyoa au kusuka,
Chagua lililo mwafaka.

Yote haya ni yako,
yaweke moyoni mwako,
kukonda hapana kwako,
Moyo wangu ni wako.

Nakutakia baraka,
Na kila lenye fanaka,
Siku mwezi hata mwaka,
Uishi kwa Uhakika

Amina tena amina,
Amina tena na tena,
Tena na tena Amina.
Nasema tena Amina.

cc Kaizer, kwa kumbukumbu ya chama.

Mweeh thank yu....I luv yu so mach (sina hakika kama chama chenu kinaelewa maana ya hili neno....)
 
Last edited by a moderator:
Ondoa yako mashaka,
Pata amani hakika,
Kunyoa au kusuka,
Chagua lililo mwafaka.

Yote haya ni yako,
yaweke moyoni mwako,
kukonda hapana kwako,
Moyo wangu ni wako.

Nakutakia baraka,
Na kila lenye fanaka,
Siku mwezi hata mwaka,
Uishi kwa Uhakika

Amina tena amina,
Amina tena na tena,
Tena na tena Amina.
Nasema tena Amina.

cc Kaizer, kwa kumbukumbu ya chama.

Ewaaa hili shairi mwake kabisa hapa lazima ndege aingine tunduni
 
Last edited by a moderator:
Si cha mabazazi au...?

Khaaa umejiunga linu JF..hebu cheki sredi za nyuma utajua hii bazaZi imeanza juzi kama ukawa...kuna chama chetu madhubuti..kama TANU kabla haijachakachuliwa....

Cc Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli siyo siri....mwanamme yeyote anayehonga ili apate penzi ni mpuuzi. Penzi ni kwa ajili ya wote mwanamke na mwanamme kufurahishana, ya nini kuhonga?
 
Back
Top Bottom