Wanaume ifike mahali tuseme imetosha, Tuchukue maamuzi magumu sasa!

aaah wapi! Tatizo michepuko ndio maana samtym unalazimika kuhonga. Kama ya waifu unaona haikutoshi na unaamua kuchepuka kwanini usitozwe ushuru kwa mpango wa kando. Tafakari kwanza ni nani, kiasi gani, kwanini, kivipi na wapi?
 
sasa mimi itakuwa ngumu maana nina nyumba nyingi, nyumba nne (4) sasa sijui nitaanzia wapi....
 
Ahaa unagomea papuchi, aisee wanaume lazima tuwe looser kwenye huu mgomo, mwanamke ana nyege siku 7 za mwezi, so anaweza akavumilia, sisi 30 days zote za mwezi. labda punyeto ihusike.
 
Tatizo gegedo likishasimama hapo ndo matatizo huanza na kujikuta unatoa ahadi tamu mm kwenye huo mgomo naomba niitwe msaliti!!!
 
Mgomo umeshindikana mkuu, tutagoma kunywa maziwa ila sio kula nyapu
 
Heheeee hamuwezi.......nasisitiza hamuwezi! Kwa uvumilivu gani mliokuwa nao?
 
Hivi leo tumesalimiana? njiwa nlomtuma akuletee ua hajarudi, nimeingiwa na dukuduku na fadhaa yenye mhemko wa bashasha. U buheri weye?

Aiseee..! Hebu endeleza kidogo hayo mashairi nipate raha mtoto wa mwanaume mwenzio..
 
Aiseee..! Hebu endeleza kidogo hayo mashairi nipate raha mtoto wa mwanaume mwenzio..

Raha huendana na huba,
huba lijazalo kibaba,
cha mengi yenye mahaba,
kwa hiari bila kukaba.

Wewe mama mimi baba,
Tubebe chetu kiroba,
cha mapenzi na mahaba,
Juu ya sita kwa saba.
 
Back
Top Bottom