Wanaume ifike mahali tuseme imetosha, Tuchukue maamuzi magumu sasa!

Nyumba nne zote??? Ipi nyumba kuu??? Je unamudu vipi??? Aiseee we hatareee

hataree ya nini hapo ....? namudu bado kijana hata 40 sijafikisha kila mtu anapata raha kwa wakati na kuridhika....
 
Back
Top Bottom