Wanaume, huwezi kudanganya mwanamke.

Wanaume, huwezi kudanganya mwanamke.

Kwamba wao ni bidhaa na sisi ni wanunuaji wa wao si ndio!!?yaani mwenye dau kubwa ndio anabeba!!
Wao ni walemavu wa kiakili hawawezi kuwa na vyao Hadi apatikane mwenye dau awapatie maisha!!

Nikizaa mtoto wa like mwenye mtazamo kama huo uliouandika nitakua baba mwenye hasara!!

Hatuwezi tunza ujauzito miezi tisa halafu tukazaa mtoto ambae anaamini eye ana bei na atakaemnunua ni yule mwenye dau kubwa!!!

Huyo mtoto ni poooza asiefaa kwa chochote na kama ndio ulimwengu wa sasa unafinyanga hivyo basi wanawake wote ni makahaba na wanajiuza kwa style tofauti,ni bora wawe wazi!!!

JANGA KUU
 
Mtu aangalie ni aina gani ya mwanamke anamfaa, wakubaliane wabebabe, maana huwezi kuwa na kila kitu, vingine vitakupita. Wanawake wengi wanatoka familia masikini na wanaweza kuishi n wanaume wenye vipato vya kawaida tu.
Kwa hiyo una validate mwanaume kufurahia umaskini?
 
Kwamba wao ni bidhaa na sisi ni wanunuaji wa wao si ndio!!?yaani mwenye dau kubwa ndio anabeba!!
Wao ni walemavu wa kiakili hawawezi kuwa na vyao Hadi apatikane mwenye dau awapatie maisha!!

Nikizaa mtoto wa like mwenye mtazamo kama huo uliouandika nitakua baba mwenye hasara!!

Hatuwezi tunza ujauzito miezi tisa halafu tukazaa mtoto ambae anaamini eye ana bei na atakaemnunua ni yule mwenye dau kubwa!!!

Huyo mtoto ni poooza asiefaa kwa chochote na kama ndio ulimwengu wa sasa unafinyanga hivyo basi wanawake wote ni makahaba na wanajiuza kwa style tofauti,ni bora wawe wazi!!!

JANGA KUU
Mkuu hauwezi kupingana na uhalisia..
 
Ukiona vinaelea vimeundwa, kuna gharama zimetumika.. Ndo sababu bila chochote kitu hutoboi...

1794751028940.jpeg
 
Kwa hiyo una validate mwanaume kufurahia umaskini?
Hayo maneno yako, ila huwezi kuwa na kila kitu, na wote hatuwezi kuwa matajiri. Ni kutafuta mnayeendana mlisongeshe.
 
Back
Top Bottom