Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, ni kama anazo. Kama hana unamficha hata majirani hawatomjua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, ni kama anazo. Kama hana unamficha hata majirani hawatomjua.
Wanakuwaga na mapenzi ya dhati kwelikweli, sema huwa hawapati wenza sahihi.Hahahaaaa!! Mara anataka akushike mkono, unauchomoa ghafla ushike hata kiuno tu ili asiushike. Na wa hivyo huwa wana mapenzi balaa.
Ahahahaaaaaa lazma umfiche tuu kupunguza aibu.Sasa unafikiri utatoa sifa gani na pesa pia hana!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima kujiweka defence kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki umejua kunichekesha, hata kwa wadada hiyo ipo utamskia anaanza kujisemesha kabla "Yaani huyo shemeji yenu mkimuona mwaweza mdharau lakini ana hela hatari, mwenzenu mtaniona sijui kuchagua lakini naangalia mbele wenzangu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena akiwa na pesa ndio asahau kupendwa, ataibiwa tu.
Hahahaaaa!! Ney acha wizi, yaani ulivyo mchanganyia habari humu sasa!!Ahahahaaaaaa lazma umfiche tuu kupunguza aibu.
Bebe popote ulipo embu tafuta pesa aiseeh [emoji6],I won't stop loving you even for one second.
Pesa sabuni ya roho jamani.
Ahahahaaaaaa kibwagizo muhimu looh [emoji6]Hahahaaaa!! Ney acha wizi, yaani ulivyo mchanganyia habari humu sasa!!
Comment ya kivyako imenivunja mbavu sana mkuu. Ni heri nikae kimya, ila unaoaje mtu ambaye you can't appreciate her in front of your friends?Nmecheka saaana. Ila hakuna mtihani mgumu kama vile ukiwa hujiamini na chaguo ulilo fanya.
Ukichagua mbaya pia wazazi utasikia wakisema "kikubwa upendo" na si kukupongeza kwa kuchagua
inawezekana eeeeh, kwani baridi ina uhusiano gani na kunimisi jaman mbona hujamalizia sentensi yakoKama nimekumiss vile..! Sijui sababu ya baridi hili.
Bila shaka amekusikiaAhahahaaaaaa lazma umfiche tuu kupunguza aibu.
Bebe popote ulipo embu tafuta pesa aiseeh [emoji6],I won't stop loving you even for one second.
Pesa sabuni ya roho jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini mada kuu ni pesa hahaaa!! Kumpenda ni mada ndogo.