Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Na ukikutana na washikaji zako wakati wa kutambulisha ukaona wanashangaa lazima umalizie kuwa "ana tabia nzuri" ili kuondoa wasiwasi
Yani nyie watu leo mnanivunja mbavu tu, unaanzaje kumalizia na "ana tabia nzuri pia", jamaa watacheka Hadi wafwe...
 
Nmecheka saaana. Ila hakuna mtihani mgumu kama vile ukiwa hujiamini na chaguo ulilo fanya.

Ukichagua mbaya pia wazazi utasikia wakisema "kikubwa upendo" na si kukupongeza kwa kuchagua
 
Na ukikutana na washikaji zako wakati wa kutambulisha ukaona wanashangaa lazima umalizie kuwa "ana tabia nzuri" ili kuondoa wasiwasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki umejua kunichekesha, hata kwa wadada hiyo ipo utamskia anaanza kujisemesha kabla "Yaani huyo shemeji yenu mkimuona mwaweza mdharau lakini ana hela hatari, mwenzenu mtaniona sijui kuchagua lakini naangalia mbele wenzangu"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nmecheka saaana. Ila hakuna mtihani mgumu kama vile ukiwa hujiamini na chaguo ulilo fanya.

Ukichagua mbaya pia wazazi utasikia wakisema "kikubwa upendo" na si kukupongeza kwa kuchagua
Hahahaaaa!!!
Akiwa mwanaume unamalizia lakini ana pesa huyo!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki umejua kunichekesha, hata kwa wadada hiyo ipo utamskia anaanza kujisemesha kabla "Yaani huyo shemeji yenu mkimuona mwaweza mdharau lakini ana hela hatari, mwenzenu mtaniona sijui kuchagua lakini naangalia mbele wenzangu"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa! Unajihami kabla ya comments kwakweli. Yaani unajikuta tu lazima sifa ya ziada ifuatie la sivyo hali sio hali.
 
Ahahahaaaaaa sifa za ziada lazima ziwepo ili shemeji akubalike kilazima. Haya mambo huwa yanafurahisha sana aiseeh
 
Taabu inakuja kwenye kuongozana sasaaaa!!!!
Hiyo ndio shughuli pevu, alafu unakuta mwenzio ndio amekufa balaah juu ya penzi lako utatamani ulie,
Maana ndio yatajitokeza yale mambo mara kakushika mkono mara bega alalalaaaa hasira zinakujaa badala ya furaha. Sema hivi vitu havinaga usawa kikubwa ni kuangalia kwenye nafuu tuu [emoji6]
 
Hahahaaaa!! Mara anataka akushike mkono, unauchomoa ghafla ushike hata kiuno tu ili asiushike. Na wa hivyo huwa wana mapenzi balaa.
 
Back
Top Bottom