Wanaume huu ujasiri mnautoa wapi?

Wanaume huu ujasiri mnautoa wapi?

Uzi ulipaswa usomeke WANAUME WALEVI HUU UJASIRI MNAUTOA WAPI. Ili tusiohusika tusichangie
 
Mie wa kwangu mpaka Leo bado naona sijamfaudu kabsaa, yaani hazoeleki kila nikimwangalia naona du mtoto anazidi kupendeza tu! Basi huwa nammaliza akitoka kuoga naingia room halafu natia dah navuta pumzi kuubwa ananiuliza nini tena! Nasema we acha tu ntamalizia Ile mahari maana mnaona unazidi kupendeza tuu anacheka. Basi siku hiyo atachangamka atafurahi. Ukiona katamani houseboy ujue mme wake ni wale jamaa wanaovaa suti 12hrs daily, wanarudi saa nne nyumbani toka kazini, wanabeba laptops za kazini hadi home! Vikao mpaka wikiendi, halafu ana masters ya Ulaya. Hawa wengi wanajifanya Wazungu akipewa anajisevia mwenyewe anamwacha mwenzie akisugua miguu tu kwa ugwadu. Mke naye anamuogopa mme wake msomi. Sasa anatafuta furaha kwa houseboy(midfielder) maana HG ni beki3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji109][emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simtetei huyo ayafanyaye kama yupo ila, mwanamume kutoka njia kuu husukumwa zaidi na mkewe. Kuna wanawake ukikaa nao waweza jikuta Segerea asubuhi bila kujua umefuata nunu kule kumbe ushaua mtu.
Kuna wanawake; Wagomviiiiii, hawaridhiki na chochote utakacho mfanyia. Hata uzame chumvini mchana bado anakuona weye ni b4 tu. Utatoa kila kitu lakini anabakia kunung'unika tu. Anaamuru kupewa hiyo hela ya chakula utadhani ni jangili. Huwa najiuliza, ukinikumbusha tu kwa staha kuna shida?? Kama ungelikuwa mwaminifu, si nikija tu zile tarehe nzuri nitakuwekea bajeti yako hapo mezani? Poleni wanaume mnaochomolewaga suruali azitoe mwenyewe.
Siri, ya mchepuko. Hata kama hukubeba kitu mkononi; Utapewa mapole 1000 hadi mengine husemi tena aksante. Kule nyumbani, jamaa anakupokea mlangoni na maswali yake ya kijinga; Ulikuwa wapi, mbona umechelewa kazini, mbona suruali ni chafu magotini. Sifui nguo hizi mimi peleka kwa dobi. Wanawake, nasema; 2019 badilikeni au labda muende tu kupatana na hao michepuko ndipo watu watarudi njia kuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.

Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.

Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
sasa umemaindi au ni vepe??? hatufikii ujasiri wenu wanawake unaenda kulala na mwanaume hata hujui kama ni jambazi au nyonya damu😛😛😛
 
WANAWAKE MUWASAIDIE WAUME ZENU KUWA MABALOZI WAZURI KWA WATOTO WAO, KINYUME NA HAPO MTAACHIWA FAMILIA NA WANAUME WATATAFUTA NJIA NYINGINE YA KUTAFUTA CONFORT
 
Back
Top Bottom