Mie wa kwangu mpaka Leo bado naona sijamfaudu kabsaa, yaani hazoeleki kila nikimwangalia naona du mtoto anazidi kupendeza tu! Basi huwa nammaliza akitoka kuoga naingia room halafu natia dah navuta pumzi kuubwa ananiuliza nini tena! Nasema we acha tu ntamalizia Ile mahari maana mnaona unazidi kupendeza tuu anacheka. Basi siku hiyo atachangamka atafurahi. Ukiona katamani houseboy ujue mme wake ni wale jamaa wanaovaa suti 12hrs daily, wanarudi saa nne nyumbani toka kazini, wanabeba laptops za kazini hadi home! Vikao mpaka wikiendi, halafu ana masters ya Ulaya. Hawa wengi wanajifanya Wazungu akipewa anajisevia mwenyewe anamwacha mwenzie akisugua miguu tu kwa ugwadu. Mke naye anamuogopa mme wake msomi. Sasa anatafuta furaha kwa houseboy(midfielder) maana HG ni beki3