Wanaume huu ujasiri mnautoa wapi?

Wanaume huu ujasiri mnautoa wapi?

Ujasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.

Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.

Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
Mama Sky Éclat, michepuko huchanganya akili si kwa wanaume tu bali pia hata wanawake. Ni janga kushikwa na mchepuko. Uusikie tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni wanawake wenyewe. Mtu kazi yake kuvuta mdomo na kiburi. Hata hiyo ya bamia saa ingine inatoka kwa huruma tuu.
 
Ujasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.

Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.

Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga

Huo si ujasiri ni ujinga wa kutupwa.
 
Ujasiri wa kuwaacha mke na watoto wako wanakula ugali bamia au ugali mchicha ilhali wewe unamtoa mchepuko dinner 5* hotel.

Ujasiri wa kukopa hela kwa mkeo umpe mchepuko.

Ukasiri wa kunywa bia wakati uniforms za mwanao zimechanika au nyumbani hakuna mboga
Kama ni watoto wa kusingiziwa.
 
Back
Top Bottom