Wanaume, huu si uungwana hata kidogo

Sijakuelewa, tatizo ni kudhani kuolewa ndo kufika, sura au nini.Kwa iyo mtu akiwa na sura isiyokuridhisha humjali?

Unajua wakati wa uchumba mnajitengeneza sana, ukishafika ndani unajiachia, mvuto unapotea. Ni hilo tu.
 
Achana nae huyu hana hata alijualo

Kazi kulazimisha watu waliokwisha kuchoka wakukumbuke, jirekebishe unashinda na nguo moja tangu asubuhi mpaka jioni, nani nataka hizo harufu.
 

Hahahah....excuse kibao...ila anaona raha kuuzisha watoto wake
 
Kazi kulazimisha watu waliokwisha kuchoka wakukumbuke, jirekebishe unashinda na nguo moja tangu asubuhi mpaka jioni, nani nataka hizo harufu.

Unatokea mkoa gani? Bila shaka unatokea kwenye lile kabila ambalo mke anashinda kibarazani amenyoosha miguu. Wewe kazini huwa unaenda na nguo za kubadilisha kwenye begi?
 
Wimbo wa mama wa Christian Bella uwaendee wote wanaume wezangu jamani!
 
mhm!! best ni kweli ila sio wote wako hivyo
hakuna anayejiachia tu i

Kama ni kweli wapo baadhi, nami nawakumbusha hao baadhi akiwemo mleta mada, tatizo mleta mada Khantwe ameileta tayari akiwa na majibu na hataki akosolewe, hakuna jinsi ambavyo Baba anaweza kuhamishia mapenzi kwa watoto na kumsahau mkewe mrembo, kwanza ieleweke kuwa watoto ni matokeo tu, wakati mnafunga ndoa hamkuwa na uhakika 100% kuwa mtapata watoto, bila watoto maisha yenu yanaendelea tu mpaka mnapojaliwa kuwapata.
 

Hili dongo kama linanielekea mimi somehow, ingawa si sana kiviiiile!c
 
mmmh! kweli ni shida, mi nilifiri anakupa mda nawewe angalau upumzike kuwa na watoto busy mda wote, na pia ona fahar coz anamtambua mtoto kuwa ni wake na hajasingiziwa so be proud kabisa...!
 

Kwani ni wewe tu uliyekosoa? Mbona wapo wengi tu waliokosoa kwa kugha ya kistaarabu tumeelewana vizuri?
 
mmmh! kweli ni shida, mi nilifiri anakupa mda nawewe angalau upumzike kuwa na watoto busy mda wote, na pia ona fahar coz anamtambua mtoto kuwa ni wake na hajasingiziwa so be proud kabisa...!

Hivi eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…