Naomba unielekeze mkuu na mimi nikafaidi mema ya nchiKuna barbershop moja niliendaga, mhh niliyoyaona hadi leo sina imani baby akienda barbershop. Natamani anyoe tu kisha akaoge nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unielekeze mkuu na mimi nikafaidi mema ya nchiKuna barbershop moja niliendaga, mhh niliyoyaona hadi leo sina imani baby akienda barbershop. Natamani anyoe tu kisha akaoge nyumbani
Bado hujaelewa, kikawaida mahitaji yetu tunayajua, mfano naamini unajua kabisa vitu gani unavihitaji mara kwa mara, mfano ukitoka unajua kabisa mara kadhaa utahitaji kununua walau mchele.Sinunui kitu kwa kuwa nitakiona, ntanunua ikiwa nimepanga kununua kutokana na uhitaji, hata hvyo ni wazo zuri.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu?
Bado hujaelewa, kikawaida mahitaji yetu tunayajua, mfano naamini unajua kabisa vitu gani unavihitaji mara kwa mara, mfano ukitoka unajua kabisa mara kadhaa utahitaji kununua walau mchele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume kamili unanyoa,unalipa halafu unasepaUkifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu?