Wanaume: Huduma gani unapenda kupatiwa ukiwa saluni?

Sinunui kitu kwa kuwa nitakiona, ntanunua ikiwa nimepanga kununua kutokana na uhitaji, hata hvyo ni wazo zuri.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado hujaelewa, kikawaida mahitaji yetu tunayajua, mfano naamini unajua kabisa vitu gani unavihitaji mara kwa mara, mfano ukitoka unajua kabisa mara kadhaa utahitaji kununua walau mchele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USHAURI
1.Hakilisha una saloon maalum na pale saloon anaye kunyoa ni mmoja kama hayupo ujue backup ni nani.

2. Wale wadada wa kuosha hakilisha una chagua anaye jua kazi na siyo wale malaya.. na hakilisha huyo ndio anakuosha kila unapo nyoa, pia akiwa hayupo ujue back up ni nani.

3. Ni vizuri kuwa mwazi hasa usafi na jinsi ambavyo wanaweza kukuhudumia.

4. Kuna wanaume wanajisikia vizuri kushilwa shikwa na wale wadada, lakini kuna wanaume wale wadada ni kama daktari ua nesi huspitalini, ni huduma na baada ya hapo anasepa .

5. Duniani heshima sana hawa watu wawili.
A. Anayekupikia
B. Anaye kuosha hata mikono tuu

Maana hawa wanashikilia uhai wako

Wakifanya kazi nzuri msisahahu kutoa tips watakwambia siri ambazo wengine hawazijui.
Ukifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu?
 
Bado hujaelewa, kikawaida mahitaji yetu tunayajua, mfano naamini unajua kabisa vitu gani unavihitaji mara kwa mara, mfano ukitoka unajua kabisa mara kadhaa utahitaji kununua walau mchele.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani una maanisha vyote hivyo vipatikane ndani ya saluni? Kila huduma ina mahala pake maalum pa kuipata

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu?
Mwanaume kamili unanyoa,unalipa halafu unasepa
#NB: hayo mengne tuwaachie Dada zetu
 
Nilioshwa nywele na maskia na mikono laini mwili ulikua unasisimka tu dah mpka natak kuchek lakini nakaza nisionekane fala, mikono laini inatekenya dah
 
Back
Top Bottom