lulu mkongwa
Member
- Sep 15, 2016
- 42
- 14
Shida yenu mnatubania hadi ndoa huku hapo hapo mnaendelea kugawa kwa side niggas.Habari wan jf, wakubwa shkamooni.
Samahan kwa ntakaiwagusa ila nmekutana na wakaka weng na katka mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE. Mwngine akadiriki hata kusema anataka bint amzalie mtoto ndo amuoe...et asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia...
Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa n nin?
Na je zipo sababu nyingine out of love?
Kuonja na kula n vitu viwil tofaut...sometimes mnaishia kuonja na kufunika dats why hatutak kuonjwa onjwaUtauzaje asali bila kuonjwa
Shida yenu mnatubania hadi ndoa huku hapo hapo mnaendelea kugawa kwa side niggas.
Thamani yako mwanamke sio uchi wako bali wewe kama wewe ulivyo. Kama mtu ana plan ya kukuoa na kuishi na wewe atafanya hvyo whether ni bikra au sio.
No no no sijasema nataka kuolewa now.... hata hil n darasa piaWw miaka 22 unaanza kuulizia mambo ya ndoa...soma kwanza
Una bf?!No no no sijasema nataka kuolewa now.... hata hil n darasa pia
Asante sasa naanza kuelewa...sio kwamba hawa wote walintongoza nooo ila huwa napenda sana kuuliza maswali na kutaka kujua mengKwasasa no love katika ndoa, kila MTU anaoa/kuolewa kwasababu fulanfulan mwingine ili apate heshima ktk jamii, mwingine shinikizo lawazaz nandugu, mwingine ili apate watoto naawalee pamoja, mwingine ili apate muangalizi wanyumba, mwingine kimaslah zaid, mwingine anaolewa/ anaoa ili aonekane nayeye kama alipitia ndoa ila unakuta hana shida yandoa nawachache kabisa ndio uoa kwamapenzi nania kabisa yakuishi namwenzake sasa inategemeana ulikutana nawaaina gan.
We ulishawai kununua gari bila ku test engine? Walau raundi moja au mbiliHabari za kuaminika n nyngine...nauliza why mnapenda sana sex befor marriage