Wanaume hii ni Yenu

Nyie wadada nanyi ni matatizo baadhi yenu...nina jama ayangu wa karibu, kaoa ila ana nyumba ndogo..kwa kauli zake alikuwa tayari kuitunza hata kuzaa..kuna wakati aliishtukia nyumba ndogo kuwa na yenyewe ina ki extension..alipombana alikubali na kudai kuwa ni mchumba na anajulikana nyumbani...jamaa waligombana sana na kuachana kwa muda ila walirudiana na yule binti alipata ujauzito..jamaa alipombana binti hakuwa na uhakika...jamaa akaamua kujitoa kwani yule mchumba naye alikuwa anahudumia..mtoto alipozaliwa utadhani jamaa yangu alijitoa photocopy!!! Binti anadai hata jamaa ambaye ni mchumba bado kalalamika mtoto hamfananii kabisa!! ila binti ameshindwa kumwambia ukweli...jamaa yangu wamegombana na binti na kutaka mtoto abadilishwe jina lakini binti kasita kwa madai hataweza kuificha aibu...jamaa kakubali yaishe kwa muda ila anatafuta njia mbadala ya kumkomboa mwanae...mtoto sasa hivi ana miaka mitatu na ndio anazidi kulandana naye kila uchao...binti naye bado hawajaoana na mchumbake ila mchumba anahudumia kwa kila kitu.......
 
Ilikuwa ni starehe ndani starehe ikatokea ajali. Ila mtoto siyo tatizo ila shida ni kumwoa huyo mwanamke maana hakuwa kwenye mipango yako
 


Maneno makali lakini ndio ukweli.
 
kama sio yangu sikubali... kama ni yangu nitaangalia nikubali au nikatae
 
Jamani wadada: mwenye mimba asie na pakuipeleka, aibebe na kuileta kwangu!
 

...na kuna morning after pills incase jana yake mapenzi yalikuchanganya ukaachia body
 
Sema baadhi ya Wakaka, wengine huwa hatukimbii majukumu yetu muhimu.


 
Last edited by a moderator:
Angelita hueenda wanawake wanaongoza kwa kukataa watoto maana wananyofoa sana ujauzito siku hizi unakuta binti under twenty kashatupa watoto kama saba lo! hebu linganisha wanaotupwa na hao wanaokataliwa, by the way siungi mkono wowote kwa sababu ni upuuzi usio kifani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…