Wanaume inabidi muelewe tu kwamba kwa mnachokipanda kina mavunona mabinti tubadilike swala la kubeba au kutobeba mimba ni jukumu lako,na kama mwayaoogopa yote hayo ni bora kuacha uzinzi.
Halafu huyu mtoto amekua rafiki yangu balaa. Hua naweza kwamba bila yeye maisha yangu leo yangekuaje!! Ila nikipata mwingine aaaggh si mbaya sana
Sio kila mwanaume ana akili za kiuanaume, wengine bado wana akili za kivulana. Kila mtu ana siri yake moyoni, usimsemee mwingine.
Sio kila mwanaume ana akili za kiuanaume, wengine bado wana akili za kivulana. Kila mtu ana siri yake moyoni, usimsemee mwingine.
Kama humuamini kwanini utembee nae?????
Hakuna bahati mbaya hiyo kwanza futa, pili jukumu la mimba ni lake mwanamke. Yeye ndo anaujua mwili wake zaid kuliko mimi na mwsho wa siku KAMA ANAOGOPA MIMBA AACHE UZINZI. nukta
Unajichanganya mwenyewe, si kila mwenye dushe ni mwanaume wengine ni wavulana na ndio walengwa wa mada hii.
Mwanaume kamili ana sifa zake siyo umri tu, Baba yetu Le Mutuz ni mfano hai kabisa kwamba yeye anaupenda uvulana gape ya miaka ni nyinyi ndio mnaiona.
tafadhali mkuu miss neddy mm sjakataa mimba Khantwe shaidi wa hilo
Sidhani kama kuna watu huwa wanapenda kubeba mimba kabla ya ndoa (siwazungumzii wale wanaohitaji watoto tu ila kuolewa hawataki). Inapokuwa imetokea si vizuri kutwishana mizigo na kusukumiana makosa....wanaume huwa mnakimbilia kusema kwa nini mdada kakubali kubeba mimba,hayuko makini. Well mimi naweza kuwa makini na siku zangu lakini jamani semeni ukweli huwa mnaelewa??? When it comes to sex wanaume ninyi akili huwa zinahama ila akili zikisharudi mnajifanya kuwapondea watoto wa watu.