Hapa ndo inapokuja tofauti ya akili ya mwanamke na mwanaume katika kutafsiri mapenzi! Kwa mwanamke anakwenda extra miles kutaka kujuwa kwanini imekua hivyo. Mwanaume utakata long story short kwamba aamue tu kutokwenda biashara inakua imeisha.
Na ww umejuaje kama anataka kukula kimasihara acha mawazo hayo mwamba mpaka akukaribishe kwake ana jambo la muhimu anataka mjadili inaweza ikawa harus moja ikaanzisha nyingine uskatae wito we nenda kizur b kwamba kaja direct ajapinda