Kipi kimekuonesha nalika KIMASIHARA?navoonekana wewe unalika kimaskhara, jamaa kabugi sehemu
Sijamzoea mkuu ,nimeahangaa sanaMambo ya kawaida tu hayo kwa mwanamke. Hajakulazimisha kwenda nyumbani kwake. Amekuomba! Hivyo una hiyari ya kwenda, au kutokwenda.
Dp ya kawaida amkuu tena passport sizeHebu weka kwanza picha yako ya DP ili tujiweke katika nafasi ya huyo mwanaume.
Kisha tutakushauri.
Nitumie hiyo pasport size kwa siri ili niweze na mimi kutoa tathmini ya haki kama huyo jamaa ni fisi tu, au alistahili kuingia majaribuni.Dp ya kawaida amkuu tena passport size
🤣🤣🤣SawaNitumie hiyo pasport size kwa siri ili niweze na mimi kutoa tathmini ya haki kama huyo jamaa ni fisi tu, au alistahili kuingia majaribuni.
Maana usikute mtoto jicho ka golori kama la huyu jamaa hapa 🙄 na hivyo kumvuruga Baharia wa watu.
🤣🤣🤣SawaNitumie hiyo pasport size kwa siri ili niweze na mimi kutoa tathmini ya haki kama huyo jamaa ni fisi tu, au alistahili kuingia majaribuni.
Maana usikute mtoto jicho ka golori kama la huyu jamaa hapa 🙄 na hivyo kumvuruga Baharia wa watu.
Ndiyo mkuu, na wewe ni kawaida yako?Hili nalo la kufungulia uzi?
Mkuu ni passport size ya kawaida tuHebu weka kwanza picha yako ya DP ili tujiweke katika nafasi ya huyo mwanaume.
Kisha tutakushauri.
Kwa hapa sisi hatujui ni wewe sasa huko W'app kwako ujitathmini,kama umeweka status umevaa nusu uchi na umekaa mikao miwili mitatu isiyoeleweka na picha za kutoa toa ulimi kama kinyonga anakamata mdudu obviously unalika kimasihara.Kipi kimekuonesha nalika KIMASIHARA?
Nipe mbinu za kupambana nayePambana na boya wako[emoji38]
Hakuna mwanamke asiependa kutongozwa au kupendwa...Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.
Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.
Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .
Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?
Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.
Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.