Wanaume hii ikoje?


Mkuu hapo kuna ukweli maana hata mimi kuna shida naipata wakati flani.
Naweza kumtaka mdada hata kwa muda mrefu sana na siku akikubali hata kama sijavunja nae amri basi hua najuta moyoni kwanini nimemtongoza!!? Hua najiona mkosefu sana na hii imenifanya niache kutaka kutongoza kwa asilimia kubwa hata kama nikiwa single.
 

pili, huna msimamo
 
Hahahahahaaaaaa....!!
Wewe jamaa balaa! Hivi umeamua kunivunja mbavu ....au ni kweli!! Aisee...we jamaa balaa.
 
Very interesting. Malaika wako ana nguvu sana na anajua kazi yake.
 
Ni hali ya kawaida kwa mwanaume coz hata mimi kipindi flani ilikua inanitokea
 
Infopaedia toka lini ukaona "Lori" likachepukia service Road bana.
 
Last edited by a moderator:
Ni hali ya kawaida kwa mwanaume coz hata mimi kipindi flani ilikua inanitokea
Hawa wasiokuwa na hii hali yawezekena wanatatizo la kimfumo......i mean up stairs.
 

haaahahhaaaaa!
umenikumbusha kitu! jamaa bro staff mwenzangu aliwah kuja mezan kwangu anahema! kuuliza wewe nini? eti mke wangu kanitengeneza!!!!

mimi eeeh kulikon!!!!?

anasema...!!!
siku ikitokea wako na mke wake kwa hata iwe asubuh wameamua kutumia gar mmoja kwenda kazin..! barabaran kunakuwa na wadada wengi wengi wazur kiac huamua kusema nikimdrop to wife narud, akirud tu eneo hilo hawapo!

sasa akawa anasema hiyo c mara moja wala mbili! eti hata nikisema leo nitoke nae tutakapoenda tunakuta vbint hatar...! siku nikisema leo naenda peke yangu sioni hata mmoja! .....!

sasa mleta mada umenikumbusha mwenzio mwingine huku ofic kwangu analia hivo...!

ila jibu sina
 

Tafuta miwani kama unayo badilisha. Una matatizo ya macho.
 
Napita tu mkuu



Nikaiona hiyo sentensi tu.......


ukimjua mtu saana anakuboa tu kiaina....
hujawahi ona watu enzi bf na gf sababu hawaishi pamoja wanapendana sana?
wakio ana tu kuna kitu kinabadilika....i am sure ume experience hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…