Tukijibana inaweza sababisha viba1 ooWakae vizuri tu sijui huwa wana maana gani
KumbeeTukijibana inaweza sababisha viba1 oo
Ukute ninako , halafu nikabane kila nipandpo kwa daladala, what do you expect.?Kumbee
Kwahiyo mnaamua kujiachia msiwe na vibamia
Na wewe ni wa ajabu tuu kama maajabu mengine. Kuna limits za kutoa mawazo yako? Ni kero ngapi zinaletwa humu watu wanachangia ingekua kama ni kumaliza huko huko basi hii jamii forums mahusino isingekuwepo. Peleka njaa zako hukoWatu wengine was ajabu kweli ultimately shindwa kumwambia mhusika halafu limekaaa linakukeleketa ukaona uje umalizie hasira huku we nae ni MTU wa ajabu kweli ukaaji mbaya Mbona hata wanawake wengi tu wanakaa ovyo!
Ahahhahaa hahahahaa mimi ni mhenga kukuzidi mkuu sasa hao mashangazi na mimi ni mmoja wao tunakerwa na tabia za kukaa mmejitanua hasa sehemu ambazo zinahitaji kukaa wawili au watatu.We mtoto uliyeanzisha thread, na watoto wenzio wanaokushadadia, kaa ukijua mama zako na shangazi zako hawajapenda hii thread yako maana hujui ni kwa nini tunaweka miguu at ease.
Nakuamuru uombe radhi kwa sababu utakapojua thread yako ni matusi kiasi gani will be too let to Apologize
Tubake kwani siye tuna expansion joint kama nyie????Nimeingia kwenye daladala siti ya wawili mwanaume kajitanuaa mguu mmoja huku mwingine kule ndo tabia gani?? Halafu asilimia kubwa ndio ukaaji wenu na mbaya zaidi mnapanua miguu huku mnatikisa tikisa yani inakeraa.
Hivi huwa mkibana miguu mnaumiaga au? Au joto linawaunguza. Muwe mnafikiria wenzenu wa pembeni hasa kwenye usafiri wa Uma.
Hii inawahusu wapanda daladala ngoja nipite.Nimeingia kwenye daladala siti ya wawili mwanaume kajitanuaa mguu mmoja huku mwingine kule ndo tabia gani?? Halafu asilimia kubwa ndio ukaaji wenu na mbaya zaidi mnapanua miguu huku mnatikisa tikisa yani inakeraa.
Hivi huwa mkibana miguu mnaumiaga au? Au joto linawaunguza. Muwe mnafikiria wenzenu wa pembeni hasa kwenye usafiri wa Uma.