Wanaume hebu mkae vizuri

Wanaume hebu mkae vizuri

unaangalia upande wetu tu... na nyinyi mnavyovaa vigauni vyenu makwapa wazi halaf mkishikilia bomba mnajiachia tu bila kujali aliye karibu yako anapata tabu kiasi gani... umeliangalia hilo..!!!
Sasa na ww si utuanzishie thread?
 
Nimeingia kwenye daladala siti ya wawili mwanaume kajitanuaa mguu mmoja huku mwingine kule ndo tabia gani?? Halafu asilimia kubwa ndio ukaaji wenu na mbaya zaidi mnapanua miguu huku mnatikisa tikisa yani inakeraa.

Hivi huwa mkibana miguu mnaumiaga au? Au joto linawaunguza. Muwe mnafikiria wenzenu wa pembeni hasa kwenye usafiri wa Uma.
Mkao wa ki,soja muda wote tuko te,tion
 
Nipo kwenye daladala, wakaingia wana watatu, mjinga mmoja akaja kukaa siti moja na mimi akakaa upande wangu wa kulia, wenzake wakakaa siti ya nyuma.

Kwa ujinga wake akakaa ili aongee na mbuzi wenzie so tukajikuta tumegusana miguu na mapaja, nikamkazia macho kama kumuashiria akae vizuri nikaona hajiongezi.

Basi nikamsogelea tukagusana zaidi halafu nikajidindisha mbuzi alivyoona kwenye suruali pameinuka akahama siti.
Hahahahaha dadadeekii
 
Halafu kabebezana nayo tuuu kila mahali, nadhani anaogopa akiiacha ataibiwa
Sasa ndo shida inaanzia hapo kutubana wenzie kwenye daladala​
 
Nimeingia kwenye daladala siti ya wawili mwanaume kajitanuaa mguu mmoja huku mwingine kule ndo tabia gani?? Halafu asilimia kubwa ndio ukaaji wenu na mbaya zaidi mnapanua miguu huku mnatikisa tikisa yani inakeraa.

Hivi huwa mkibana miguu mnaumiaga au? Au joto linawaunguza. Muwe mnafikiria wenzenu wa pembeni hasa kwenye usafiri wa Uma.
Watu wengine was ajabu kweli ultimately shindwa kumwambia mhusika halafu limekaaa linakukeleketa ukaona uje umalizie hasira huku we nae ni MTU wa ajabu kweli ukaaji mbaya Mbona hata wanawake wengi tu wanakaa ovyo!
 
Watu wengine was ajabu kweli ume shindwa kumwambia mhusika halafu limekaaa linakukeleketa ukaona uje umalizie hasira huku we nae ni MTU wa ajabu kweli ukaaji mbaya Mbona hata wanawake wengi tu wanakaa ovyo!
 
Hiyo tunaita "Manspreading" ni tatizo kubwa kwenye usafiri wa Umma.
 

Attachments

  • IMG_20180205_160556_927.JPG
    IMG_20180205_160556_927.JPG
    53.2 KB · Views: 40
Wakae vizuri tu sijui huwa wana maana gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom