Wanaume hebu mkae vizuri

Wanaume hebu mkae vizuri

Nikiingia tu mlangoni huwa nadinda
Duuuu mwanaume mashineee. Ila mjitahidi aisee sio kwenye daladala tuu mpk maofisini mtu unakuta amekaa kama bujwazii. Madarasani mtu anajitingisha mnajikuta dawati zima linatikisika.
 
Sasa ww ukijitanua si tutaona kidude
 
wanaopepea ukurutu unawasha chini ya mapumbu

Bwahahahahhahh
 
Na wewe jitanue.pasu kwa pasu
Mnajua hatuwezi kwa nature ya nguo zetu. Nadhani labda na nyie mngekua mnavaa magauni au skirt msingejitanua. Ila mbona hata tukivaaa suruali huwa tunakaa vzr jamani
 
Duuuu mwanaume mashineee. Ila mjitahidi aisee sio kwenye daladala tuu mpk maofisini mtu unakuta amekaa kama bujwazii. Madarasani mtu anajitingisha mnajikuta dawati zima linatikisika.
Hiyo umenikumbusha mkaka mmoja alinisimamisha kunitongoza alikuwa anatingishika balaa sjui ndo Pozi au
 
Nipo kwenye daladala, wakaingia wana watatu, mjinga mmoja akaja kukaa siti moja na mimi akakaa upande wangu wa kulia, wenzake wakakaa siti ya nyuma.

Kwa ujinga wake akakaa ili aongee na mbuzi wenzie so tukajikuta tumegusana miguu na mapaja, nikamkazia macho kama kumuashiria akae vizuri nikaona hajiongezi.

Basi nikamsogelea tukagusana zaidi halafu nikajidindisha mbuzi alivyoona kwenye suruali pameinuka akahama siti.
 
Mnajua hatuwezi kwa nature ya nguo zetu. Nadhani labda na nyie mngekua mnavaa magauni au skirt msingejitanua. Ila mbona hata tukivaaa suruali huwa tunakaa vzr jamani
Mpushi kidogo naupaja ataelewa unamaanisha akae vizuri
 
unaangalia upande wetu tu... na nyinyi mnavyovaa vigauni vyenu makwapa wazi halaf mkishikilia bomba mnajiachia tu bila kujali aliye karibu yako anapata tabu kiasi gani... umeliangalia hilo..!!!
 
Sawa tutakaa vizuri, vp nanyi mnaovaa vi sketi vifupi hadi tunaona vidude vilivyotuna mtajirekebisha mvae sketi ndefu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom