Wanaume hebu mkae vizuri

Wanaume hebu mkae vizuri

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
35,965
Reaction score
71,081
Nimeingia kwenye daladala siti ya wawili mwanaume kajitanuaa mguu mmoja huku mwingine kule ndo tabia gani?? Halafu asilimia kubwa ndio ukaaji wenu na mbaya zaidi mnapanua miguu huku mnatikisa tikisa yani inakeraa.

Hivi huwa mkibana miguu mnaumiaga au? Au joto linawaunguza. Muwe mnafikiria wenzenu wa pembeni hasa kwenye usafiri wa Uma.
 
Hapo tatizo ni wewe kupanda daladala. Kwanini upande daladala? Kwanini usitembee kwa mguu?
Acha uchoyo kwa hyo niungue na jua kisa nini? Shida ni nyie kutojua jinsi ya kukaa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji106] Hatari sana!Eti..."Unadhani kuvibeba "vikende" ni rahisi..."!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom