Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Na wenye vitambi aka kitumbo
Kitambi kama hichi?
Na wenye vitambi aka kitumbo
hapo ni simple tu, humtaki muache asikutie pressure
haya ila me napenda nikiudhiwa niongeee hadi hasira iishe... au ukubali nikutwange ngumi tatu za nguvu
Kuna wanaume wanaoshika mimba siku hizi?
View attachment 305349
Ukiachilia mbali uzuri wa mtu, tabia yake, utanashati na mengine mengi, kila mwanaume ana ladha anayoitafuta kwa mwanamke anayemtaka. Hii inatofautiana kati ya mtu na mtu, siwezi kuongelea nini mwanaume anatafuta kwa mwanamke, ila najua kuna aina Fulani za wanawake wanaume wengi hawapendi kuwa nao.
Waongeaji Sana
Wanawake wa maneno mengi, wanaume hawapendi mwanamke mropokaji. Wanawake wa aina hii huwa hawajui nini waongee na nini wasiongee au wakati gani wa kuongea na wakati gani wa kunyamaza. Watu wa aina hii hawajui kuuliza, wao wanafoka tu mwanzo mwisho.
situmii nguvu nyingi kwa sababu we unakuwa umekaa tu unapokea doziHizo nguvu unazo?
situmii nguvu nyingi kwa sababu we unakuwa umekaa tu unapokea dozi
sawa mkuu next weekNaomba uanze na mimi tafdhali.