Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,377
- 3,394
Last edited by a moderator:
Hii safi sana hii
Hii safi sana hii
Hiyo sasa ni roho mbaya
Hahaa kama ya mke wa mcharo? Au ile sasa sifa lol
Ivi kati yangu mm na ww nani mchoyo Honey Faith
Si wewe hapo?Nimekuomba vocha ya elfu kumi unaanza kujizungaaaa😀
Hiyo sasa ni roho mbaya
Afu katika iyo mm utanimiss call mra ngapi? Leave alone kunipigia😀😀😀
Ivi kati yangu mm na ww nani mchoyo Honey Faith
Hakuna cha roho mbaya wala nini...ndio kuwakomesha wa kikosi cha mizinga....
Ewaaa.... chama kinakusapoti kwenye hii move.
Shikamoo babu!Hivi kwani na wewe ni mchoyo?