Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Yani uchoyo wangu unategemea ntu na ntu.... sio kama wewe mchoyo mazima
Mbona sijakuelewa babu yangu?
Yani uchoyo wangu unategemea ntu na ntu.... sio kama wewe mchoyo mazima
Mbona sijakuelewa babu yangu?
Yani we ukinihitaji sina uchoyo ina ukihitaji pesa yangu hapo nakuwa mchoyo..... sio wewe unakuwa mchoyo wa vyote..
Jamani msinikumbushe! Nilishawahi chunwa laki moja na ishirin na papuchi sikupewa. Kanibana ana shida ya laki sita, nikamweka black list. Kashtukia ishu, katumia namba nyingine. Kwa hasira nikabadilisha namba, tumepotezana takriban mwaka sasa.
Huyo jamaa hapo juu kaniongezea maujanja
mimi sina tatizo sana.....Hadi wewe......
Hiyo sasa ni roho mbaya