05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,643
Moja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen)
Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile.
Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu kwa pamoja. 🙏😎🙏.
Leo nime mnanga Sana Mdogo Ang wa kike .. yani amejaza mawigi chumbani kwake hadi hewa inakua nzito... matokeo yake Kila siku kazi kutuumwia mafua hapa.
Binafsi naona kujilemba Sana ni kukosa self esteem....
NB: ZINGATIA KICHWA KUWA HATUPENDI WANAOJIREMBA KUPITILIZA (MEANS TUNAPENDA WSIO JIREMBA SANA)
#USITOE POVU BILA KUELEWA UZI
KIKAO CHA MAKUBALIANO KILIFANYIKA CUBA MWEZI APRIL MWANZONI.