Wanaume eti hii ni kawaida?

Duh asante mkuu noted!
 
Miaka nabalehe tulikua tunashauriwa sana tuepuke kua na wanawake wengi tunapewa na mifano ya watu waliozingua kimaisha kisa mambo ya wanawake Ila madogo wa saivi tunawashauri wawe na mademu na wanyandue.
Duh... ushauri mbaya hivi, hamtutaki mema.
 
Nashangaa mtumishi unatembelewa na majini mahaba...!!!

Umetoka kwenye jasho sahivi uko kwenye ndoto....

Muda wa kuoa....fanya taratibu upate shemej
Wakuu...
Hii mambo ya wet dream kuota mfululilizo siku mbili ni kawaida?

Tena ni wakati wa mchana, ukijilaza kidogo tu hata saa 1 tayari...

Kabla ya hapohapo ilikuwa ni maramoja moja tu...
Wanaume hii ni kawaida au jini ma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…