Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,423
- 56,115
Miaka nabalehe tulikua tunashauriwa sana tuepuke kua na wanawake wengi tunapewa na mifano ya watu waliozingua kimaisha kisa mambo ya wanawake Ila madogo wa saivi tunawashauri wawe na mademu na wanyandue.Hakuna namna π
Ww una matatizo mkuu πYes mkuu mchana kweupe kabisa unajikuta umelowa?
AshindweeeeπKemea
Ana maanisha Maradona alifunga goli kwa mkono.Alikuwaje kwani?
Wewe mbona yule wa gym unamtazama tuu ππTafuta mwanamke kijana, utakufa vibaya
Walking, swimming, ruka ruka kambaAsante mkuu noted! labda mazoezi ya aina gani ni bora zaidi.
Afunge saumu km tunazofunga waislam, ale mlo mmoja tu maghribHapo kwenye red una maanisha nini?
Hiyo ndio njia ya kudumu, zipo zingine za kutuliza maumivu kama mazoezi, jizoeze kusoma neno la Mungu na kufungaDuh... hakuna altenative way mkuu?
Sasa mateso yote hayo yakazi gani?Afunge saumu km tunazofunga waislam, ale mlo mmoja tu maghrib
Na daku kdg. Walau siku 2 kwa week.
Lkn kwa upande wa waislam saumu huambatana na ibada, na kumdhikir Mungu ili kuepukana na mawazo au matendo maovu ikiwemo zinaa
Mpe yule mwanafunzi wako wa gymTafuta mwanamke kijana, utakufa vibaya
Ninao wanawake wa haraka haraka anytime T nikihitaji kupunguza uzito kama wawili hivi. Kwahiyo unajaribu kujizuia kidogoWewe mbona yule wa gym unamtazama tuu ππ
Huyu mlokole feki hamuwezi huyuMpe yule mwanafunzi wako wa gym