Not men only myself naweza jipa raha
aisee! Kipindi nasoma darasa la 5 nakumbuka nilikuwa nachukia sana mathematics nilijua ni somo gumu na halieleweki lakn kumbe halikuwa somo gumu ila nilikosa mwali mzuri. Nilipofika darasa la 6 nikaanza kulipenda sana hilo somo kulingana na mwalimu niliyemkuta alikuwa anafundisha vzr sana.
Hata ww unalalamika hvyo bila shaka hujampata mtu sahihi ambaye atakusikiliza na kukujali na kuheshimu maamuzi na mawazo pamoja na hisia zako.
Ulipenda ila hukupendwa........ Kaa chini mwombe Mungu umpate mtu anayekupenda. Utapenda sana ndoa
Not men only myself naweza jipa raha
Mmmmmh!!! haya ngoja nipite
hayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..
Wanaume ni wabaya wanyama wauwaji wanyanyasaji
Kuwa hot ni kutokuomba hela
Ni kweli ,hua inauma sana mtu umetoka nae mbali lakini akipata mwingine anakusahau kabisa atakufanyia visa hadi basi na kamwe hawezi kukwambia kua hakutaki atakuonyesha vitendo.inauma sana usiombe yakukute tena kwa mtu ambae ulikua na malengo nae.
Sasa huyo alikua mbali sahivi yupo karibu kwann msiwe vizuri ni wazi ana mtu mwingine japo ngumu kuamini ila jua hivyo, fanya yako dada hapo huna chako kabisa.kaa kimya usimtext wala usimpigie simu kama wewe ni wa muhimu kwake atakutafuta asipokutafuta ujue huna thamani kwake , ya nn kuendelea kuutesa moyo jua moyo unasahau kuliko kuendelea kujiekea matumaini beta ukajua hapo huna chako ww umekua nyumba ndogo kwake hio ipo waz japo ukweli unauma.
sawa mamy hapa ndipo napo amaini mwanaume ni selfish .... nkjakuwa na mwanangu wa kike nitamwambia asijekuamini mwanaume yeyote
sawa mamy hapa ndipo napo amaini mwanaume ni selfish .... nkjakuwa na mwanangu wa kike nitamwambia asijekuamini mwanaume yeyote
Baada ya kupewa MIHELA SASA UNAGEUKA NA KUSEMA WANAUME MASELIFISH!
Rudisha kwanza hizo hela ZA Watu ndio uje Na habari zako hizi!
hata mimi? teh..mfundishe kujitegemea utakuwa umemaliza kazi.
Toka huko sina hela ya mtu mimi