Wanaume embu nisaidini hili

Aisee! Kumbe na ww ni majeruhi! miss chagga huyo hana mpango na ww sku zote mpenz wako akiwa mbali unakuwa na hamu ya kumuona na kufanya naye kila zuri lakin huyo jamaa yako alikufanya chombo cha starehe..... Kaa chin tulia fikilia kwa makin tafuta mtu makin for u'r future.. Ulipenda usipopendwa.
 
Last edited by a moderator:
Ila uvumilivu unaisha ujue

pole mamii... huwa naamini chochote unachochagua kuvumilia sasa, usitegemee kuwa kitapungua au kubadilika muda unavyozidi kwenda (labda mara chache mno kwa anayekupenda na kujali hisia zako!!), sana sana kitaongezeka tu na utazidi kunyong'onyea ndani. Kimbia mdogo wangu, kimbia moyo kitu kingine ujue..
 
hapo kuna Mwanamke mwenzako kasha ku over take, so Jamaa anatafuta kisa tuu avunje rasmi kambi kwako..kuwa macho
 
:bange:"Ukimuona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo":bange:

TIBA SHURTI UCHUNGUZI KWANZA.
Hujatuweka wazi,
1.Hii ni stori ya kutunga? Au Inakuhusu wewe mwenyewe?
2.Uhusiano husika una umri gani? (mwaka,miaka au miezi?)
3.Umbali wa wahusika unaouzungumzia ni wa wapi na wapi?
4.Matatizo hayo ndio yameanza punde tu au ni yanajirudiarudia tokea siku nyingi?

*Hakuna uhusiano usiokuwa na madoa/matatizo/mifarakano ya hapa na pale.
Zaidi majibu ya maswali hayo yatatoa rejea itakayotupelekea kutoa ushauri kwa nafasi.
 
Pole sana mkuu nafikiri kama mtu amefikia kufanya hayo yote basi anakua amekuchoka na aliyechoka hakosi sababu . Unaweza ukajitahidi kufanya mengi lkn kama mwenzio kachoka haisaidii. For future relationship kuwa makini mno na muombe Mungu akupe mtu aliye sahihi na atakaekupenda jinsi ulivyo. Sasa anza kufikiri kwa kutumia kichwa acha kabisa kutumia moyo tena ulivyobembeleza kurudiana mwenzio alipata bichwa la kukupotezea na kujiona yuko juu.
 

Sawa mpenzi. Nashukuru kwa ushauri mzuri
 

Story ya kweli. Una miaka minne, umbali ni dar kwa arusha .... yamejirudia sana matatizo kila siku.... nadhani matatizo yakizidi ni tatizo kwa kweli na unachosha mwili na roho pia
 

Nikimbizwa mwenzio tayari ..m ila kuanzia leo nakimbia. Mwenyewe loh..
 

Sawa mkuuu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona manyoya....hapo kuna kila dalili ya mchepuko, ila kuchapiwa ni siri ya ndani!...kazi kwako kusuka au kunyoa.nngekuwa mimi ningeshanyoa mapemaaaa
 
Aisee...mambo kama hayo yanapokudhuru ktk ujue kabisa kuwa Hugo...mwanaume hakupendi. Au ameshapata alicho kitaka kutoka kwako(kufanya mapenzi Na wewe). Au amekuchokaaa...

Sawa mkuu mbona mnakuwa very straight lakin ujue inauma
 
dada pole kama hii ni story ya kweli basi huyo ndio mwanaume wa uhakika anayependwa na wanawake wengi.

wanawake walio wengi huwa hawawaelewi watu makini na wakweli ila porojo za wasanii wanazipenda mno na ndio chaguo lao.

sina la kukusaidia, hii hali ndio mwalimu wako utajisaidia mwenyewe, wapo hata walioijuwa hali yako itafikia hapo walikaa kimya kuogopa kuitwa wafitini.

kuna wakati dada zetu mnajichanganya kwenye mahusiano tunaogopa kuwaambia ukweli huwa hamtaki ukweli.
 
Hili ndiyo summary ya maswali yote.Well said!
 
miss chagga, wajua hatutabiriki wengi wetu hasa wasiojitambua, na wengine wanabadilika hasa wanapopata kipato kikubwa ukilinganisha hapo awali....!
unachopaswa ni kusimama, kusimama imara...!
 
Last edited by a moderator:

Fimbo ya mbali haiuwi nyoka wewe, njoo huku acha kupiga kelele.
 

asante mkuu sasa mwanaume yupi ndo anaweza kuwa sahihi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…