Wanaume embu nisaidini hili



Amekuchoka,jaribu penzi jipya
 


Pole sana,naona huyo kapata penzi jipya
 

Just be yourself and your man will die loving you with all his heart
 
Kuna kitu wanawake hamtaki kukubali... Kwa namna jamii ilivyo xaiv ni kaz mwanaume kulidhika na mwanamke mmoja...fumbua macho uone miss chaga
 
mmmh ngoja niendelee kuwa msomaji tu..haya mambo sometizes hata uchanganye formula gani zinagoma
 
miss chagga jitahidi uwe hot.
Au ndio ile uwiiii! Yesu na malia we thomba tu dhambi za kwako. Huku umejilalia hata kuzungusha nyonga hutaki
 
Last edited by a moderator:
Kuwa hot kuna variables nyingi sana ndani yake...

Ntarudi baadae kushusha madesa yake..

wadada nitumieni PM kwa mnaohitaji eenh! attach kabisa na namba zenu za M-pesa! lol.
 
Kuna kitu wanawake hamtaki kukubali... Kwa namna jamii ilivyo xaiv ni kaz mwanaume kulidhika na mwanamke mmoja...fumbua macho uone miss chaga

mimi nimekubali mbona ila asinidharau tu hilo ndiyo muhimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…