Wanaume ebu acheni hizo!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Ni mambo ya ajabu na kusikitisha sana eti inatokea msichana\mwanamke unataka mwanaume mwenye sifa mfano mrefu mweusi asiwe mnene sana ,BASI wanatokea watu wanaPm nawe unachagua wa kwenda kuonana nae ukizingatia sifa zile unzozitaka tayari jamaa kaelewa na kabla anajisifu sana.
Siku inafika mtoto wa kike unajua leo naenda kukutana na yule mtu wa ndoto yako!!Lahaula lakwata!!!!
Unakutana na mtu tukisema wale mbilikimo wa CONGO DRC tuakuwa hatujakosea jamani huyu mtu anakuwa na
maana gani?jamani mbona kuna watu wapo tu wapenda vishotiiiii?mbona unalazimisha wewe kaka basi ungevaa hata magongo ya PIMBI tujue moja,O vyoooooooooooooooooooooo sana.
 
Ndio madhara yanayokuja na "online dating"… jikaze tafuta mtu unayemtaka mtaani
 
Kwani wewe ulivyokuja kutafuta wa mtandaoni hukuwa na macho ya kumtafuta mwenye sifa uzitakazo? We unajidai kuweka vigezo wakati we mwenyewe hukidhi vigezo. Umegaragazwa huko weee sasa imechoka ndo unakimbilia mtandaoni.
Ovyooooooo
 
Nadhani hujui nini maana ya ONLINE DATING
 
ha ha ha umekutana na ndizi sukari.....
sipati picha aibu ulioipata kama ulienda na shostito akamuone shemeji ake!!!!!!
 
Labda kwao ye ndo mrefu kuliko wote, sasa ukisema mrefu tu anakuja yeye. Siku nyingine weka vipimo vya urefu unaotaka!
 
Ulipomtaka mrefu mweusi, mwenzio alijua ni mwanaume wa ndani ya suruali, a.k.a mpini mrefu na mweusi tehte h teh....!
 
Kwani wewe ulivyokuja kutafuta wa mtandaoni hukuwa na macho ya kumtafuta mwenye sifa uzitakazo? We unajidai kuweka vigezo wakati we mwenyewe hukidhi vigezo. Umegaragazwa huko weee sasa imechoka ndo unakimbilia mtandaoni.
Ovyooooooo

Mbona unakuwa mkali? Jiwe limerushwa gizani nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…