Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,429
- 27,810
- Thread starter
- #41
Hakuna cha kujidanganya katia ukweliMkuu,
Hakuna mtu special zaidi ya mwingine hapa, trust me. You're not so special, neither am I. Tusiwaseme sana hawa watu wakati hata sisi tuna mapungufu yetu.
Ndo maana kuna ma miss, mwanamke mbovu ni mbovu tu iwe jua iwe mvua,
Hakuna haja ya kupindisha maneno, na hakuna dhambi katika hilo,
Wameringa sana hawa vikaragosi, kumbe ni wabovu hivi?