Wanaume chukueni hii siri

Wanaume chukueni hii siri

Bwashee nilibubujikwa na machozi ya huzuni na furaha baada ya kujiona mkeka.

Kumbe ni mbovu namna ile?
Sikifiki kama ni kweli ,kwenye macho tumetofautiana sana 😅 ila sikushauri ufanye haya kama njia ya kuwaadhibu mnaokinzana , mimi sikuungi mkono kwa hili , hii vita Spain kagoma kutoa military base aseee😅
 
Leo umekuwa mtetezi bwashee?

Acha kunichekesha mlevi
 
Unaona sasa kumbe unakosea sehemu nyingi sana, sasa endelea na kelele Watu wanasukuma fimbo tu
Kusukuma fimbo kwa vikaragosi? 😂

Hebu wacha comedy
 
Usichukulie mambo ya jf serous sana😅
Sio serious hata hivyo, ila kwa vile tumegusa kwenye mshono lazima hawa vidampa wa mjini JF wanywe vidonge vyao
 
Hapana sigusi mtu mshono , just utani na tungi tu😁
Ndo maana nikasema ukiwa high akili haina makando kando, ila mm sihitaji kuwa high niko tapped in 24/7 hawa ni kuwa kaanga kwa wivu mkubwa mno
 
Hapana unavyofikri sivyo silengi yeyote , humu nina mada mpaka za majamaa yenye vitambi , unafikri hakuna masela zangu wenye vitambi humu😃 just utani tu
 
We mwenyewe lile I utakosa obesity?

Wewe sema ilkula za uso na pombe zimeiziba ego yako ukaamua uwapopoe, alaf wewe utakuwa moja ya mods nn, maana kuna siku umekula ban ya dakika 20 na ukarudi kwa hewa,.

Also huwa unaandika utumbo na haufutwi kabisa. Je wewe ni mod?
 
Siandiki utumbo naandika utani kwenye jukwaa la utani , wewe unaona ni utumbo kwa sababu ulitaka niandike unachotaka wewe kwenye jukwaa la utani.

Naona mods hawafuti kwa sababu wananielewa zaidi yako😊
 
Mwanamke mbovu ni kwa macho yako, kwa mwingine ni mwanamke mzuri sana.

Hujawahi kusoma, "beauty's in the eyes of the beholder "
Ndo mmejidanganya hivyo, au macho yenu yameshazeeka pia?

Ila sisi vijana tunaona kweli na hayuongopei kwa sifa uchwara, kama pisi ni mbovu ni mbovu tu. Hakuna kudanganya hapa

Zinakaa kukimbilia wazee maana zinajua wazee hawatazingatia katika reception na housing ya nje
 
Siandiki utumbo naandika utani kwenye jukwaa la utani , wewe unaona ni utumbo kwa sababu ulitaka niandike unachotaka wewe kwenye jukwaa la utani.

Naona mods hawafuti kwa sababu wananielewa zaidi yako😊
Wanakuelewa kwasababu huwa unaandika kwa kudanganya uelewa, so wanaenda na kigezo hicho, ila ukweli ni kwamba unahonga mpka modz wewe, kuna siku umekula ban kabisa, alafu naona unashusha nyuzi huku profile inasoma banned!

Nikasema bwashee amewashika modz buts nini?
 
Wanakuelewa kwasababu huwa unaandika kwa kudanganya uelewa, so wanaenda na kigezo hicho, ila ukweli ni kwamba unahonga mpka modz wewe, kuna siku umekula ban kabisa, alafu naona nashusha nyuzi huku profile nasoma banned!

Nikasema bwashee amewashika modz buts nini?
Hahaha hao mods wenyewe wakisoma hapa wataenda kuchekea chooni
 
Ndo mmejidanganya hivyo, au macho yenu yameshazeeka pia?

Ila sisi vijana tunaona kweli na hayuongopei kwa sifa uchwara, kama pisi ni mbovu ni mbovu tu. Hakuna kudanganya hapa

Zinakaa kukimbilia wazee maana zinajua wazee hawatazingatia katika reception na housing ya nje
Sema wewe, how special are you mkuu hadi uone wenzako ni wabovu?

Okay, tuseme wanawake wa humu ni wabovu, mwanaume anapimwa kwa uwezo wake wa kutoa pesa, what do you put on the table?
 
Mwanaume anapimwa kwa uwezo wa kutoa pesa?

That's a mindset of a loser, yaani unathamnisha makaratasi kwa thamani ya mtu?

Mwanaume anaoimwa kwa kuwa protector, kusimama kidete wakati wa shida, kuwa mkweli na kutokuwa na majigambo hewa huku akihonga wanawake ili apewe mzigo
 
Mwanaume anaoimwa kwa uwezo wa kutoa pesa?

That's a mindset of a loser, yaani unathamnisha makaratasi kwa thamani ya mtu?

Mwanaume anaoimwa kwa kuwa protector, kusimama kidete wakati wa shida, kuwa mkweli na kutokuwa na majigambo hewa huku akihonga wanawake ili apewe mzigo
Yote hayo, money, cheddar, денег! Huwezi kuwa protector na kumpa mwanamke security kama ni kapuku, tunaongelea ndoa, sio kuhonga mitaani mzee!!

Bottom line, tukikuambia uweke picha yako hapa huwezi kwa sababu hata wewe unaogopa kivuli chako mkuu.
 
Niweke picha yangu hapa ya nini?

Sina time ya kuanza kujionesha kama jike, wao wenyewe wamejichanganya maana hawakujua kuwa kuna siku hao ma bwana zao Waliokula hela zao watawachoka na kuona wabovu kupindukia.

Kama unaona fresh kula vikaragosi ni wewe bwana sio kuanza kusema kila mtu ana jicho lake, wakati tunajua kizuri kinaonwa mara moja tu bila kupepesa macho
 
Mkuu,
Hakuna mtu special zaidi ya mwingine hapa, trust me. You're not so special, neither am I. Tusiwaseme sana hawa watu wakati hata sisi tuna mapungufu yetu.
 
Back
Top Bottom