Wanaume changamkieni tenda hapa

Wanaume changamkieni tenda hapa

Habari zenu humu ndani.

Natafuta mchumba awe gentleman,msomi wa chuo kikuu,mkristo mwenye hofu ya Mungu,mchapa kazi yani asiwe mvivu,awe wa kimo chochote lakini ariwe mfupì sana na atakae kuwa serious nami na awe single mana sitaki kushare na mtu.

Mimi ni msomi wa chuo kikuu,mnene kiasì,mrefu kawaida na nina rangi yangu ya hasiri,rangi ya chocolate.

Tunaweza kuwa marafiki tukilidhiana ndo tuingie kwenye stage ya uchumba.

Kwa atakae kua tayari ani PM asanteni

Aya wasomi fursa hzoooo......
tuliokua tunawashwa na unform tupite ivi.....
 
Matapeli wa pesa/mapenzi ni wengi na wana mbinu nyingi hapa mjini.

Weka picha,mahali unapoishi na details nyingine vinginevyo kigezo cha kujiamini huna.

Naweza kuku-pm tukaridhishan vizuri ila dosari ikawa pale nikutiapo machoni...so punguza machache kabla sijaku-pm!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom