- Thread starter
- #21
Mimi mvivu ila nimeajiri watu wananifanyia kazi.
Hunifai wewe usije ukaniletea uvivu hadi kwa bed

Salam!!!!
Hauna nia ww
Hivi kwa nini asilimia 90 ya id zinazotafuta wachumba huwa ni ngeni?
Hunifai wewe usije ukaniletea uvivu hadi kwa bed
wazoefu tayari tulishachakachuana
Hivi kwa nini asilimia 90 ya id zinazotafuta wachumba huwa ni ngeni?
Hata usipojua kusoma na kuandika ili mradi usiwe mvivu na uwe muekewa
Analipa promo jina lake.
Hapana....ni ninyi wenyewe wenyeji mnabadilisha tu id twenu
auna nia ww
hahahaha hamna bwana...watu wanakuwa wameshagegedwa huko nje sasa wanakuja hapa kwa ma great thinkers wapate wapenzi wa kweli
Nakuja PM
Hivi kwa nini asilimia 90 ya id zinazotafuta wachumba huwa ni ngeni?
kutojiamin tu. mim mwenyewe kwenye lile bandiko langu walionipm asilimia nying zilikuwa ID ngeni.