Habarini Wanajamvi!??
Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo hili lilianza kama riwaya ya mzaha mzaha lakini kwa sasa si riwaya tena ya Mzaha Bali riwaya ya dhati.
Hivi mwanaume inakuwaje unalalamika kuwa hakuna pesa, hivi tukilalamika hivi wanawake wao wafanyeje. Ifike pahala wanaume hichi kitabia cha kulia lia hakuna pesa tuache. Mwanaume halisi hupambana na hatari yoyote katika mazingira yoyote.
Kumezuka tabia wanaume tunalalamika kuwa wake zetu au Wapenzi wetu(Wanawake) Wametushinda. Mwanaume halisi lazima ajue namna ya kumtawala mwanamke na amtawale mwanamke. Yaani mwanamke anakupeleka peleka kama kikaragosi kipelekeshwavyo na upepo kaatika anga. Mpaka Mungu anatushangaa tunavyomtia aibu.
Wanawake waliumbwa kwaajili yetu, akizingua tupa kule tafuta mwingine.
Mwanaume kamili haogopi kuachwa na Mwanamke, bali mwanamke ndio anapaswa kutahayari. Unakuta mwanaume mzima anawaza upuuzi eti anaogopa kuachwa kisa watoto. Anayepaswa kujali watoto sio Baba ni Mama, mbona hata Nature inaonyesha kabisa.
Wanaume wengi wenye kujali kama wanawake ndio hukutwa na matatizo mengi kuliko wanaume halisi. Wengi hupungukiwa nguvu za kiume kwa Stress, Wanaume hatupaswi kuwa kama wanawake kihisia.
Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake.
Mwanaume unafikiria Usafi mwanamke afikirie kukuletea Ugali.
Weita ongeza bia.