Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
- Thread starter
- #61
Dalili za awali za mgonjwa wa akili , 'KUPENDA KUANDIKA VITU ASIVYOVIJUA"
Mkuu, vipi na yule anayesoma vitu asivyovielewa??
Dalili za awali za mgonjwa wa akili , 'KUPENDA KUANDIKA VITU ASIVYOVIJUA"
ndio ukweli huoMmmh
Daaah, mbona sijaona ubutu hapo au mie ndo sijui butu
ndio ukweli huo
baeleze baelewe saaana.... unasubiri mwanamke akuletee ugali, lazma uogope kuachwa ati!
Kwa hiyo mwanaume mchafu mchafu ndio mwanaume halisi?
Umenikeraaa! kwa hiyo kulia lia kufulia ni kazi ya wanawake? mi simo kundi hilo
Kwa kujitetea tu hamjambo, lazima mtafute kimwanya ambacho mwanamke ataingia ili umsingizie shida zako. Haya kila lenye heri.Ni kweli kuna Wanawake ambao waume zao wanaowashindwa kabisa, mfano:-
Imagine Mwanamke anakuwa na tabia mbaya ambayo kila mara unamwambia aiache lakini haiachi.
Mfano "Umbea wa saluni na kufuatilia mambo ya watu"
Au "KIBURI"
Pia Mwanamke anaweza kumtawala mwanaume tena sana hata kwa Ushirikina. Mfano
"Kwa limbwata na ujinga mwingine"
Halafu "USAFI" ni sifa nzuri kwa Binadamu wa jinsia yoyote.
Hakuna uhusiano wa Usafi na Ushoga. Kama wewe ni mchafu mchafu jitahidi sasa kuwa msafi.
UCHAFU sio U HARDCORE au UANAUME.
Uchafu ni UJINGA NA UZEMBE
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna aina mbili za maana.
1. Maana tambuzi
2. Maana matlaba.
Soma vizuri utaelewa taratibu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Butuuuvipi Mkuu
Habarini Wanajamvi!??
Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo hili lilianza kama riwaya ya mzaha mzaha lakini kwa sasa si riwaya tena ya Mzaha Bali riwaya ya dhati.
Hivi mwanaume inakuwaje unalalamika kuwa hakuna pesa, hivi tukilalamika hivi wanawake wao wafanyeje. Ifike pahala wanaume hichi kitabia cha kulia lia hakuna pesa tuache. Mwanaume halisi hupambana na hatari yoyote katika mazingira yoyote.
Kumezuka tabia wanaume tunalalamika kuwa wake zetu au Wapenzi wetu(Wanawake) Wametushinda. Mwanaume halisi lazima ajue namna ya kumtawala mwanamke na amtawale mwanamke. Yaani mwanamke anakupeleka peleka kama kikaragosi kipelekeshwavyo na upepo kaatika anga. Mpaka Mungu anatushangaa tunavyomtia aibu.
Wanawake waliumbwa kwaajili yetu, akizingua tupa kule tafuta mwingine.
Mwanaume kamili haogopi kuachwa na Mwanamke, bali mwanamke ndio anapaswa kutahayari. Unakuta mwanaume mzima anawaza upuuzi eti anaogopa kuachwa kisa watoto. Anayepaswa kujali watoto sio Baba ni Mama, mbona hata Nature inaonyesha kabisa.
Wanaume wengi wenye kujali kama wanawake ndio hukutwa na matatizo mengi kuliko wanaume halisi. Wengi hupungukiwa nguvu za kiume kwa Stress, Wanaume hatupaswi kuwa kama wanawake kihisia.
Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake.
Mwanaume unafikiria Usafi mwanamke afikirie kukuletea Ugali.
Weita ongeza bia.
Sasa hapo nimejitetea nini?Kwa kujitetea tu hamjambo, lazima mtafute kimwanya ambacho mwanamke ataingia ili umsingizie shida zako. Haya kila lenye heri.
Butuuu
Kitu ambacho hakina makaliHujui maana ya butu mkuu??
Kitu ambacho hakina makali