..kuna wanawake na wanawake haswa. Kuna wanawake wamepewa jeuri hata shetani anawagwaya. Omba Mungu sana upate mwanamke anaekupenda na mcha Mungu, aliyefunzwa toka kwao. Ukipata tofauti na hapo unaweza juta maisha yako...
That is too much na inawezekana huyo akawa shoga kweli.Unakuta mtu mwanaume anajipodoa kavaa skin jeans ya kike tena ya pink,kabeba begi ndogo ndani kaweka leso mbili,toilet paper,chocolate, pipi ya kijiti,selfie stick,kioo,mafuta,perfume,power bank,afu hata story zake za umbea umbea tuuu!!!! Mambo ya kishoga kabisa hayo,Mwanaume unatakiwa uwe mgumu bwana sio unajipodoa
Kama uchafu ni sifa ya mwanaume, bora nidharulike kwa kuwa msafi.
"Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake"Wapi kwenye mada kunasema Mwanaume awe Mchafu, Ukisoma uwe unatulia sio kuja kuongeza vitu ilimradi na wewe Ukomenti
Usafi kupita kiasi kwa mwanaume ni dalili mbaya saana. Mwanaume kamili hawezi kuwa Msafi kupita kiasi.
Pia sijazungumzia suala la Usafi pekee, sasa nashangaa kuona Mtifuano mkali kuhusu Usafi.
Kwa ujumla ni kuwa kama mwanaume umsafi kupita kiasi basi lazima kuna shida sehemu Fulani.
Hakuna kitu kinaitwa usafi kupita kiasi. There are only 2 things. You be either smart or rough
acha walielie sie tunawaparua wake zao tuHabarini Wanajamvi!??
Kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Siku hizi kumezuka tabia ya sisi wanaume kulia lia wengine wameenda mbali zaidi kwa kupiga mayowe na kunga huku na huko. Kiukweli jambo hili lilianza kama riwaya ya mzaha mzaha lakini kwa sasa si riwaya tena ya Mzaha Bali riwaya ya dhati.
Hivi mwanaume inakuwaje unalalamika kuwa hakuna pesa, hivi tukilalamika hivi wanawake wao wafanyeje. Ifike pahala wanaume hichi kitabia cha kulia lia hakuna pesa tuache. Mwanaume halisi hupambana na hatari yoyote katika mazingira yoyote.
Kumezuka tabia wanaume tunalalamika kuwa wake zetu au Wapenzi wetu(Wanawake) Wametushinda. Mwanaume halisi lazima ajue namna ya kumtawala mwanamke na amtawale mwanamke. Yaani mwanamke anakupeleka peleka kama kikaragosi kipelekeshwavyo na upepo kaatika anga. Mpaka Mungu anatushangaa tunavyomtia aibu.
Wanawake waliumbwa kwaajili yetu, akizingua tupa kule tafuta mwingine.
Mwanaume kamili haogopi kuachwa na Mwanamke, bali mwanamke ndio anapaswa kutahayari. Unakuta mwanaume mzima anawaza upuuzi eti anaogopa kuachwa kisa watoto. Anayepaswa kujali watoto sio Baba ni Mama, mbona hata Nature inaonyesha kabisa.
Wanaume wengi wenye kujali kama wanawake ndio hukutwa na matatizo mengi kuliko wanaume halisi. Wengi hupungukiwa nguvu za kiume kwa Stress, Wanaume hatupaswi kuwa kama wanawake kihisia.
Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake.
Mwanaume unafikiria Usafi mwanamke afikirie kukuletea Ugali.
Weita ongeza bia.
"Eti mwanaume anasifiwa Usafi, hahahaaa!! Kwani we Mzazi, Kuna uhusiano Mkubwa kati ya Usafi na tabia za kike. Mara nyingi wanaume wengi Wasafi kupita kiasi huwa na tabia za kishoga. Pia huwa na hisia kama wanawake"
Hii paragraph ulikuwa unamaanisha nini?!
acha walielie sie tunawaparua wake zao tu
Acha kuongea Uongo mkuu,
eti "There are only 2 things, you be either Smart or rough" Hicho ndicho unachojua, ndivyo vipimo vyako.
Mambo mengi kama si yote dunia huweza kuwekwa katika makundi matatu na si kama usemavyo.
We jitetee hapo. Ila kama umsafi kupitiliza ujue kuna dosari sehemu Fulani.
Nikupe pole mkuu.
Mkuu , the rest of your points ulichambua vizuri , ila hilo la kuhusisha usafi na ushoga halina logic kabisaa
Hapo sawa umechanganua vizuri, ulikuwa too general mkuu kwenye hiyo paragraph niliyoquote. Kweli hizo si character za kiume mkuu.Mbona inajielezea mkuu. Fanya utafiti mdogo, tafuta wanaume wa dizaini hiyo watano kisha anza kuchunguza yafuatayo.
1. Jinsi wanavyoongea
2. Mihemko yao iwe Kucheka, kukasirika, n.
3. Mambo wanayo yapenda kama Muziki, tamthiliya, n.k
4. Wanavyohusiana na watu wengine, hasa kinadada utagundua wanapelekwa pelekwa tuu.
5. Wanavyotembea
6. Wanapokabiliana na mambo magumu.
7. Wanapotetea hoja zao, ukiwapinga kidogo huweza hata kulia mbele za watu.
8. Huwa na maigizo mengi kama kinadada.
Angaliz Sio wote hivyo kwenye hiyo sampo ya watu watano, watatu wataingia katika sifa za uanaume butu
[emoji239] Kumekuchaa