Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
- Thread starter
- #101
Ili mwanamke awe na adabu anatakiwa wawe wawili au watatu,ndio maana wazee waliweza kuwaendesha,kwani ukilinga wenzio twara safi, na hii nimethibitisha Jana,Jamaa yangu alikuwa anaonyesha mahaba Niue kwa wife wake kila siku kesi Mara mwanamke anatakuludi nyumbani Mara unataka nikatibiwe TMJ tu ndio iwehospitali ya familia ila sasa najua Jamaa kalekebisha bi mdogo safi nyodo zote hakuna,USHAULI TU MEN WOTE,OENI WANAWAKE WAWILI kisha utaona raha yake, akizingua anarudi home kwanza mwenzake anahudumia uone kama mambo hayawi sawa sawa
Wachache watakuelewa