Wanaume amkeni acheni kulalama

Kutongoza ni kazi yangu na majukumu yangu nitaitekeleza tu, ila kusaidiana ni sehemu ya maisha.
Lazima tushirikiane katika nyanja zote kwa mustakabali wetu.
 
Wanaume tuamke, kutimiza majukumu yetu ni wajibu na sio ombi
 
Kutongoza ni kazi yangu na majukumu yangu nitaitekeleza tu, ila kusaidiana ni sehemu ya maisha.
Lazima tushirikiane katika nyanja zote kwa mustakabali wetu.
fafanua hiyo nyanja zote ,..... kabla sijakuambia kitu
 
mie nilipompiga kibuti my hubby yangu watu wakachongaaa.....IT IS VERY STRESSFUL KUISHI NA MWANAUME TEGEMEZI! aku babu mie siyo shangazi yake, to ze left!
 
kama ni mke umeolewa haudumiwi ujue wenzio wenye lugha za busara na kubebeleza kama mke wanaudumiwa ipasavyo,ila kama unakuwa una lugha kama hizo ujue wanaume watakuja wanachungulia papuchi wanaondoka na utaendelea kulalamika kuwa wanaume wa siku hizi ni irresponsible,mkondo wa maji siku zote unaelekea palipo na bonde,na hela siku zote zinaenda palipo na furaha na zero stress.
 

haya majibu yanajitosheleza sana.miss chaga uwe unayapitia mara kwa mara hutolalamika tena
 
wewe ile mere fact kwamba nimemkuta sio bikra tells me alot about her character...one thing is for sure she is not patient enough na yeye kugongwa na watu wengine ni posible 99.99%.

japo hiyo point inatu-defeat kwakwel but Broo hivo vya bikra vilikua zamani hop u know society is dynamic as it keeps on changing jamii za sasa si za zamani and we need to cope with those changes.....na ndiomana sidhani kama mwanaume anapotongoza anauliza eti WEWE NI BIKRA??????????? NOOP!!!
 

NIMEKUPENDA BURE ... yeye siyo bikra alafu anataka bikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…