Hahahahahahahahaha!!!!!! sie hatuna viboy tuna wanaume wanaojua majukumu yao
ni kweli mine... mtu wa kulalama hana solution
Aah wapi mwanaume lege lege uwezi nitongoza mimi ...unaanzaje nitongoza lazima uangalie unanipeleka wapi?
Dah!!! Salaale! Mmeamua wandugu!Wanaume wanaujua ukweli roho mbaya tu na uchoyo kushindwa kutimiza wajibu wao sasa wanafikiri kichwa cha familia ni kile kidogo kwenye suruali kinachowapa jeuri wasitambue majukumu yao kuwa ni zaid ya hiko.......
Afu wanajeuri sana akishajua yeye ndio anaprovide kila kitu dharau haziishi sasa ni pale anapokutana na mwanamke anapesa zake hapo lazima anywee kama kuku kaloanishwa hawa fimbo yao ni pesa tu lazima wakuheshimu
Kwani bado kuolewa! Nipo dume linalojua kuhudumia hapa..!
Watu mko moto ni balaa btw swali langu kwa mleta mada vipi kuhusu wanaume wanaohudumia familia zao kiuchumi effectively na bado wanakesha baa na michepuko juu je,wako responsible?
Wanaume wanaujua ukweli roho mbaya tu na uchoyo kushindwa kutimiza wajibu wao sasa wanafikiri kichwa cha familia ni kile kidogo kwenye suruali kinachowapa jeuri wasitambue majukumu yao kuwa ni zaid ya hiko.......
Afu wanajeuri sana akishajua yeye ndio anaprovide kila kitu dharau haziishi sasa ni pale anapokutana na mwanamke anapesa zake hapo lazima anywee kama kuku kaloanishwa hawa fimbo yao ni pesa tu lazima wakuheshimu
Haya haya naona mnaendelea kuraruana tu, mie nafurahia tu hapa. Mara gegedo mara papuchi!!!! Kiboksi manyoya mara mpingo!!! Duh haya twende kazi
Ila siku mkifahamiana nadhani utatamani usikumbuke ulichokipost, Asnam mpenzi njoo huku basi
hahhahaha duh hivi vita sijui mwisho wake nini? maana kila siku ni thread za makombora toka kila upande, naona leo akina mama/dada nao wameamua kujibu mashambulizi! Yangu macho tu
Miss chagga!!!
Kwani mapenzi ni hela ama mbona sielewi kama sina sipendwi
then whats the blame for.!!
Kama mnao kelele daily hapa zinatoka wapi?
Mtu akitoka pumuliwa huko asipopewa hela, fasta anakuja na li uzi.'WANAUME HAMNA HELA' MABOYA, WANALIALIA.,'
PUNK.
Watu mko moto ni balaa btw swali langu kwa mleta mada vipi kuhusu wanaume wanaohudumia familia zao kiuchumi effectively na bado wanakesha baa na michepuko juu je,wako responsible?
Kula tano miss Miss Chagga , message sent ,They want to change nature.
Nyie hamna maana hata kidogo,tunajitahidi kuwahudumia kadri tuwezavyo ili muwe watulivu lakini hamridhiki hata kidogo,tamaa zimewajaa mpaka hamzipi thamani tena papuchi zenu kwakuziachia kwa kila anaetangaza dau huku mkisahau kuwa hizo ndizo zinazowapa thamani!
Binafsi sintoweza kugaramia kitu kisichokuwa na thamani!
miss chagga we unafikiri kwa nini ukikutana na mwanume swali la kwanza lazma liwe 'UNAFANYA KAZI WAPI?' Jibu ni kwamba anataka aone ni kwa namna gani utamsaidia hayo majukumu yake. Hichi kizazi cha sasa ni tatizo sana.
Ee Mola utuokoe na hili janga.