miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
- Thread starter
-
- #241
binafsi sina tatizo na kulea mwanamke, SINA! NIMEKUOWA, ndiyo ndoa zetu waafrika zilivyo, tofauti na wenzetu wanaowana, hivyo basi nina wajibu juu yako kwa kila kitu. Kama ni mwajiriwa usitegemee nitakuuliza pesa yako unafanyia nini, na kusema kweli sipendi mwanamke ajumlishe kijisenti chake kwangu na baadaye ajifanye ana mchango kwenye maendeleo yangu, nilishajifunza kwa hilo asahau, wewe chukua mshahara wako kakope mkokoteni chenji inayobaki weka petroli, hesabu ya chakula na matumizi yote nyumbani niachie mimi, hesabu ya mawazi ya familia niachie mimi, sina neno na mwanamke wa namna hiyo, KIKUBWA niachie vyangu, ziada ninayowekeza mimi haikuhusu hata punje, kama unataka kupata gawio la faida tungefanya kazi kama kampuni na ukawekeza mtaji, otherwise sahau kabsaa. Maisha ya siku hizi ni tofauti kabisa na ya zamani, mwanamke si nduguyo na hauna ukoo naye, ishi naye kwa uangalifu sana, wewe unafukuzana na pesa yeye daima anafukuzana na wewe, jiongeze. Mimi nimekaza pumb.u wewe vijisenti vyako umeenda kusukia, mwisho wa siku unaona mambo yako vizuri unaanza visa ili tuachane upate gawio, utashangaa sana kukuta assets zote unazozijua wewe zote nimezikopea. Hakika wapo wanawake wenye kupenda maisha ya kijamaa, lakini kuwa mwangalifu ni wachache sana, wengi wao ni vibaka tu, hasa wa mgombani...ogopa!
Ha ha ha ha migombani
aka talibani, chezea!
mmmh mimi hapa naona swala zima la kipato
haiwezekani mwanamke anapata mil 1 kwa mwezi ,wanaume anapata laki 2 alafu useme akupe hela na yako isijulikane i aenda wap nadhani utakua unamuonea tu
kiasi cha kipato ni jambi la kuzingatia
LAKINI PIA WEWE ELA YAKO ITAKUA INAENDA WAPI??
Kaka upo wapi nataka tuywe kidogo umeongea point sana nimekuelewa
hizi ndoa ndugu yangu ni kuwa mwangalifu, ujue aina ya mwanamke unayemuowa nauweke misingi toka mwanzo, wengi hawajali chochote kuhusu wewe, anaona anavyokuchanulia miguu ni kama anakupa msaada, haoni kwamba ni jembo la heshima lenye kuunganisha watu wawili kwa ukaribu usio mithirika, wengi wako pale kwa ajili ya kupata unafuu wa maisha na si kutengeneza maisha kwa ushirikiano, ndiyo maana kesi na minong'ono ya fulani kamuuwa mumewe, fulani anaomba talaka haihesabiki mtaani, kuna wanawake wanapenda kushuka mteremko bila kupanda mlima!
Ndio maana nasema wanaosoma comments za JF MMU wanafanya hivyo at their own risk...
Humu ni kuja kupoteza stresss...lakini ndio kabisa utegemee kuja ku learn unaachika ndani ya mwezi...
Watu wanasema hivi vitu havina influence nakwambia vinayo...
Kuna rafiki wa shemeji yangu alioa mwanamke std 7 walikuwa wanaishi fresh sana...mkewe anajua sana kupika alikuwa na tabia ya kutualika tukale kwake for the sake of showing off...maana alikuwa aishi kumsifia mkewe kwa maufundi ya jikoni...(mimi nilikuwa naunga trela kwenye hiyo mialiko na dada yangu na shemeji nikiwa a bit young kama 15 year ilopita)
Mume si akapata scholarship ya Ph.D nchi fulani ...ndio alipojuta kuoa std 7 (akili za kushikiwa)...unajua huyu mwanaume alirudi TZ kwa kutoroka na watoto baada ya shule kuisha kwani mkewe alisema harudi mtu TZ na alishaomba separation; alishaacha kumpikia mumewe...eti mashoga zake wamemwambia kuna usawa asiwe mtumwa...
Huyu kaka alikomaje...nusu afeli hiyo PhD...na alipokuwa anarudi TZ alikuwa kama mwizi maana ndege imetua Schiphol anaanza kuwaza sijuhi nimesharipotiwa kuiba watoto...mpaka anafika Tz haaamini...mkewe bado amekomaa nchi za watu zaidi ya mwaka wa 10 sasa...sijui anafanya nini nadhani anafagia mitaa maana ugomvi wao pia ulichangiwa na yeye kunogewa na vikazi uchwara...pamoja na mashoga alopata toka west afrika
Sasa imagine kama wale wadada wa akili za IG na whatsapp wamo humu ...wanaondoka na nini????
Ni wanawake wachache sana zaidi ya tunavyofikiri wana misimamo...wengi wanayumba kirahisi sana kwa kufuata mikumbo...
Naomba nikufilisi
hahahahaa, dadaako mmoja alishindwa, we utaniwezea wapi...kwiikwiii!
embu nikujaribu
mmmh mimi hapa naona swala zima la kipato
haiwezekani mwanamke anapata mil 1 kwa mwezi ,wanaume anapata laki 2 alafu useme akupe hela na yako isijulikane i aenda wap nadhani utakua unamuonea tu
kiasi cha kipato ni jambi la kuzingatia
LAKINI PIA WEWE ELA YAKO ITAKUA INAENDA WAPI??
Ndio maana nasema wanaosoma comments za JF MMU wanafanya hivyo at their own risk...
Humu ni kuja kupoteza stresss...lakini ndio kabisa utegemee kuja ku learn unaachika ndani ya mwezi...
Watu wanasema hivi vitu havina influence nakwambia vinayo...
Kuna rafiki wa shemeji yangu alioa mwanamke std 7 walikuwa wanaishi fresh sana...mkewe anajua sana kupika alikuwa na tabia ya kutualika tukale kwake for the sake of showing off...maana alikuwa aishi kumsifia mkewe kwa maufundi ya jikoni...(mimi nilikuwa naunga trela kwenye hiyo mialiko na dada yangu na shemeji nikiwa a bit young kama 15 year ilopita)
Mume si akapata scholarship ya Ph.D nchi fulani ...ndio alipojuta kuoa std 7 (akili za kushikiwa)...unajua huyu mwanaume alirudi TZ kwa kutoroka na watoto baada ya shule kuisha kwani mkewe alisema harudi mtu TZ na alishaomba separation; alishaacha kumpikia mumewe...eti mashoga zake wamemwambia kuna usawa asiwe mtumwa...
Huyu kaka alikomaje...nusu afeli hiyo PhD...na alipokuwa anarudi TZ alikuwa kama mwizi maana ndege imetua Schiphol anaanza kuwaza sijuhi nimesharipotiwa kuiba watoto...mpaka anafika Tz haaamini...mkewe bado amekomaa nchi za watu zaidi ya mwaka wa 10 sasa...sijui anafanya nini nadhani anafagia mitaa maana ugomvi wao pia ulichangiwa na yeye kunogewa na vikazi uchwara...pamoja na mashoga alopata toka west afrika
Sasa imagine kama wale wadada wa akili za IG na whatsapp wamo humu ...wanaondoka na nini????
Ni wanawake wachache sana zaidi ya tunavyofikiri wana misimamo...wengi wanayumba kirahisi sana kwa kufuata mikumbo...
mmmh mimi hapa naona swala zima la kipato
haiwezekani mwanamke anapata mil 1 kwa mwezi ,wanaume anapata laki 2 alafu useme akupe hela na yako isijulikane i aenda wap nadhani utakua unamuonea tu
kiasi cha kipato ni jambi la kuzingatia
LAKINI PIA WEWE ELA YAKO ITAKUA INAENDA WAPI??
wanaliwa tigo na wanaojitambua! hivi kumbe wanaojitambua ndio wanatabia hiyo.