Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Wanaume acheni kuwa 'Marioo'

Kizazi kilicholelewa na ma single mother,kila shida inatatuliwa na mama...imagine mtoto huyo akikuwa atahitaji kuwa na mwanamke wa aina gani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sababu, marioo wengi wamelelewa na wazazi wote. Watoto wetu single moms ni watafutaji kweli maana mama zao tunapambana haswa.
 
Sio sababu, marioo wengi wamelelewa na wazazi wote. Watoto wetu single moms ni watafutaji kweli maana mama zao tunapambana haswa.
Ndo sababu, marioo wengi ni watoto ambao wamekuwa wakiona mama ndo anafanya kila kitu...mtoto hajui hata jukumu lake kama mwanaume sababu nyumba haina mwanaume...halafu mnaleaga watoto wanakuwa wasafiiiiii siku hizi na kiduku kwa mbali mnawanyoa.......kama unamtoto wa kiume unamlea hivo ujue huyo ndo marioo wa baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real Gentleman alwayz huwa ni ma responsible kweny relation...alwayz huwa ni ma creative...mf. kwenye birthday atanunua Toy Car ya Lamborghini ... hata pipi ya kijiti (lolpop) kumpa mpenzi wakee zawadi akiamini one day yes...mimi nachukia wanaume mariooo...wanapewa mpaka ela ya boksa....pia wanawakee ndio wanaongozaaaa... Mim huwa nachukiaga wanawake tegemezii.... unakuta mwana mketegemezi mpka anachoshaaa
 
Ila nilikuona juzi pale ulijitahidi kugharamia ka lunch...haha

Na ukawa unajisifu eti nikipendwa napendeka.
Haikuwa kalunch ujue, ni outing ya three days. Nilijitutumua acha tu.
 
Back
Top Bottom